ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

zito anashindwa kuwa top wa chama maana muda wowote lowassa anakuja ACT so ni vizuri aback kuwa kiongozi wa chama taifa maana kuna watu na nafasi zao wanakuja any tym

Na hii ataishikilia kwa muda mfupi tu!
 
Sasa nimeamini kama Zitto Kabwe ni msaliti ,inawezekana na kukubalika kabisa kumwita Yudah ! sababu ambayo ilivuma na kuonekana ni tetesi ni ile iliyohusiana na kusimamishwa kwake na hata barua pepe ya siri iliwahi kuletwa humu JF kuwa akina Mr XYZ wameamua kuanzisha uasi na kufungua chama kingine ,Yuda amejiunga na chama chake alichokianzisha ,amejaribu kuudanganya umma kwa kung'ang'ania kuwemo cdm kwa amri ya mahakama na pia kujikita katika mambo ya Escrew na menginetele ,amekuwa akifanya usanii mkubwa ili kuepuka kuhusishwa na uanzishwaji wa chama alichojiunga ,ila kumbukumbu bado mbichi wala hazijakauka Zitto ni muanzishaji halisi wa ACT alichokuwa akifanya na kujitenga ilikuwa ACTING.

He is a true Yuda Msaliti ,kuanzia leo jina lake ni Yuda ,kama ulikuwa unampenda Yuda mfuate ila kama ulikuwa ni mwanasiasa inatakiwa uwe na uwezo wa kuchanganua na kudadavua ,usifuate upepo ,kuwa muelewa na kuwa na msimamo ,Yuda amepata umaarufu na kujiona ni muelewa ,si muda mrefu siasa za watu aina yake tumeziona na tumewaona.

Poleni sana mnaojiunga na debe bovu,hilo. :mvutaji:
 
Na bado, mtapagawa sana! kwa kutwa mnaanzisha thread mia na kitu kwa ajili ya ACT wazalendo! Hamjui ndio mnazidi kuitangaza.
 
Siyo uzalendo kwani hawa kuepo wa hasisi wa chama hicho kama mahona ngassa??
 
Ww unauliza makofi police, katiba ya chama cha wahun ya ACT kinasema mwanachama yeyote anapojiunga na chama hicho anatakiwa akae miez 6 ktk uanachama ndo agombee, leo ZZT yuko kwenye chama cku 7 je? Katiba inarihusu? Bac hapo hakuna kujiulixa hiki chama nichaZzt na alianzisha chama akiwa ndan ya chama, wafuas wake waelewe hivo wafuatu mkumbo tu, tuko hapa ipo cku atakisalit chama hiko alinakiungoxa kwasababu ya uroho wa madaraka.
 
vijana wa UDSM ni wasaliti mno pia wanaongoza kwa kutoa mafisadi.
 
Kwanza sijui kama act-wazalendo kina mahusiano na act-tanzania!

Nilifuatilia uzinduzi wao uliorushwa live na itv.nilimuona mwenyekiti,mama anna mughwayi,katibu mkuu samsoni mwigamba na mshauri wa chama prof.kitila mkumbo.

Zitto alitambulishwaq kama mwanachama wa kawaida tu. Sasa nashindwa kuelewa ni kwanini anaitwa kiongozi mkuu wa act wakati yeye si mwenyekiti,katubu mkuu wala makamu mwenyekiti !?

Anaeelewa hiyo organizational structure anisaidie
 
Back
Top Bottom