Hali si shwari tena ndani ya ACT-Wazalendo mkoani Shinyanga baada ya wananchi kuamua kuwazomea viongozi wa ACT-Wazalendo waliokwenda kufanya mkutano wa kampeni.
Ni aibu sana kwa ACT-Wazalendo wanaojipambanua kupendwa hasa mikoa ya Magharibi.
Wajipange upya,walianza Geita wakaja Bukoba,wakaja Sumbawanga,wakaja Tunduma na sasa Shinyanga.