ACT Wazalendo wasema hawatashiriki uchaguzi mdogo ujao,NEC haijazungumzia kasoro za uchaguzi uliopita

Hivi ACT si Walisema wanaungana na CHADEMA katika harakati za kuiondoa CCM? Sasa mbona hawawapi Ushirikiano CDM sasa Kule kuungana na CHADEMA /UKAWA kuko wapi?
 
Wapinzani tafuteni akidi kwenye vyombo vya maamuzi la sivyo mtaendelea kucheza rege.
 
ACT WANAMSIMAMO WA UKWELI
Japo mtawapuuza na kuwadharau lkn wapo sawa..
Kama walivompuuza SLAA wana CDM leo wanamkumbuka SLAA
HI
Vilevile kwasbb ni jimbo la kinondoni ndio maana wameamua wasideke wala wasisuse lkn ingekua jimbo la kondoa mashariki au mbulu magharabi wangezidi kuweka mgomo na kujiliza liza hadi UN
 
Hivi CHADEMA wanadhani CCM itawaachia jimbo la Kinondoni kiurahisirahisi tu?.
Kinondoni ndo jimbo lenye Pato kubwa kuliko jimbo lolote nchini.

Ni kweli kabisa unachoongea maana hata Mwenyekiti wa CCM kaishapeleka 'HOJA'kwamba hataki kusikia CCM imeshindwa Siha au Kinondoni,na hataki kusikia mpinzani anatangazwa.
 
Back
Top Bottom