Kuwa mtu wa karibu wa Maalim au ambaye anafanana na sifa za Maalim isiwe kigezo katika mapendekezo.
Mazingatio:
1.Sifa binafsi katika kusimamia ustawi wa watu?
2.Uadilifu?
3.Ufahamu wake katika siasa za Zanzibar na msimamo wake kuhusu maridhiano.
4.Ufahamu wake kuhusu fursa za kiuchumi za Zanzibar na mwenye maono chanya kuhusu uchumi Wazanzibari.
etc.
Mungu alimjaalia Maalim umri/vipaji na hekima katika kutimiza wajibu wake,sasa ni wakati wa Mzanzibari mwingine kwa maslahi ya Wazanzibari na Tanzania kwa ujumla.
Pumzika kwa Amani Maalim.