ACT Wazalendo si wazalendo!

ACT Wazalendo si wazalendo!

Bongo kufanya siasa ngumu sana especially kwa wapinzani ,njaa sana rahisi kufika bei ,masikini hana kiapo.
 
Wenyewe walisema watalinda kura. CCM wakamwibia Zito mwenyewe kumwonesha kuwa nani anamua mshindi
 
Yaani katika kitu ACT wamejimaliza ni kushiriki huu uchaguzi magumashi. Na vile yametokea machafuko ni lazima uchaguzi ujao ufanyike kwa haki kwa kiwango fulani, huko ndio ACT watapotea mazima.
 
Wametia aibu kwa kuhusika kusaport hila , kushiriki chaguzi fake sasa watageuka na kuwa NCCR Mageuzi wangeweza kabisa kuwa chama kizuri lakini waliweka njaa mbele
ZZK = LOFA
 
Back
Top Bottom