ACT Wazalendo pelekeni salamu CHADEMA

ACT Wazalendo pelekeni salamu CHADEMA

Na chaguzi zote hizo ndogo na kubwa mpaka uchaguzi wa kitongoji na ubalozi CCM hawashindi pasipokutumia njia mbadala.
 
Nasema hivi, weka idadi ya wapiga kura ili tuone mnavyokubalika. Kipi halieleweki hapo? Jizi namba moja liko motoni, mifumo iliyompa nguvu dhalimu iko pale pale, ndio maana wenye akili wakajitoa, na wananchi pia wamepuuza huo utoto. Ili kuthibitisha kukubalika na wananchi wa huko, weka idadi ya waliojitokeza kupiga kura.
Acha kujifariji bhana!

Jizi liko motoni ndio, vipi sasa hiyo mifumo si muitoe maana si yupo yule mnaemsifia sana kwamba anawasikiliza?
 
Wananchi wamewapuuza ccm na uchaguzi kwa ujumla. Kundi kubwa la wananchi haliridhishwi na ccm tena, kwa ujumla ccm iko nje ya muda bila wao kujua. Ukitaka kujua ccm imechokwa usiangalie ushindi, bali angalia idadi ya wapiga kura. Kama idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ni zaidi ya laki 3 sehemu zote kilipokuwa na uchaguzi leo, kisha wanatokea watu chini ya 50,000 hapo inabidi mjiulize. Ccm kwa sasa ni kama mwanafunzi anayepata division IV toka division I, lakini anajivunia kuwa wakwanza kwenye hiyo division IV! Kama mna akili na mnaamini mnakubalika, jiulize ni kwanini hamna wapiga kura kama zamani? Hebu weka idadi ya wapiga kura iliyojitokeza tujue inavyokubalika na sio kutangazwa washindi na tume yenu.
Tunachoambiwa na kuaminishwa hapa ni kuwa, waliojitokeza kupiga kura ni wanachama na wapenzi wa CCM tu, wananchi wengine wamesusia sababu hawaridhishwi na hilo Chama. Yaani hata wangeenda kupiga kura wasingeipigia CCM ila kwa sababu hawaridhishwi nayo hawakujiokeza kupiga kura ili kuikataa, badala yake wamebaki nyumbani ili ipite tu. Yaani kampeni za upinzani ilikuwa za kuomba kura lakini wanaoombwa hizo kura wameamua kuyoenda kupiga hiyo kura sababu haridhishwi na CCM 😣😣
Kumbe kweli "Ukisusa wenzio wala"
 
UPUUZI MTUPU!!!
Napenda kumuambia rasmi kaka yangu Zitto Zuberi Ruyangwa Kabwe (Zizou Ziyaye Zinedine Yaziy Zidane) kuwa CCM hatunaga Shuguli ndogo. Kila uchaguzi kwetu ni muhimu na wathamani sana. Sisi siyo CHADEMA ambao wanakimbia uchaguzi mdogo wanashiriki uchaguzi Mkuu. Wakati Uchaguzi mdogo ndiyo unatafuta mabega ya kusimama wakati wa kueleka na kipindi cha uchaguzi Mkuu.

Zitto anashangaa WanaCCM kama Mh Kassim Majaliwa, Mh Dkt Mpango, Mh Shaka, Mh Cecil Mwambe, Mh Nyarandu n wengine kuwepo kwenye kampeni. Anashangaa haya kwasababu ya neno "UCHAGUZI MDOGO" ahhaa! Hilo ni jina tu kutokana na Wakati na kiwango cha Uchaguzi husika lakini thamani na maudhui yake kwa CCM ni UCHAGUZI MUHIMU.

Zitto Yeye hakuwatuma akina Ado Shaibu wala akina Likapo Bakari na Nondo Abdul bali alikwenda Yeye na Haji Duni kwani wenyewe ni wepesi kiasi hicho!? Namkumbusha kuwa Siasa ya Chaguzi kwetu sisi siyo ya kupuuzwa ni Kazi kazi tena kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Zitto ahakikishe anajenga chama kitaasisi wala asijiingize kwenye siasa za lawama, matukio na kutegemea CCM tukosee ndiyo watumia hiyo fulsa. Lazima wajikite kiajenda na kimuono wala siyo kijanjajanja kama wale jamaa wanaogombea Viti maalumu 19 tu.

Kigoma Tumeshinda kwa Kishindo kikubwa kwasababu Upinzani bado wanaleta na kuendekeza siasa za kivulana kuliko za kimajukumu.

Ukitaka kujua nguvu ya CCM basi jifanye unajaribu kuhatarisha Uhai wake... Chadema wanajua maana walishaingia ndani ya 18 hadi sasa wanaogopa kuingia ulingoni wamebaki kutafuta huruma ya Mama[emoji1787][emoji1787].

Tanzania bila CCM itayumba.
 
Mmekutana na mtelemko mnaanza maneno ,CHADEMA tuko tiyari CHUKUA nchi na viti vya ubunge visivyopungua 200 ,leteni tume huru,katiba mpya tukutane 2025, mnafikili ni Kama hao
 
Kwani headmaster si alishakufa?

Au kuna mwingine tena anawateka na kuwaua?
Mmekutana na mtelemko ,CHADEMA ipo tiyari kuwavulumisha ikulu leteni tume huru ,katiba mpya tukutane 2025, mbona ccm wepesi sana nyie
 
Kwanini salaam zisiende kwa Matonya mjengoni aandae viti vyakukaa wa bunge wapya?

Chadema wanahusikaje nasalaam zisizowahusu nahamkuombwa.Pendaneni ktk demokrasia.
 
Tumepuuza huo mtihani maana tumejua hakuna mtihani kwani head master anampa mtoto wake majibu ili aongoze wakati tunajua hana akili. Ushahidi kuwa wananchi wamejua kinachoendelea ni upuuzi, weka idadi ya wapiga waliojitokeza.
Jibu murua kabisa
 
Napenda kumuambia rasmi kaka yangu Zitto Zuberi Ruyangwa Kabwe (Zizou Ziyaye Zinedine Yaziy Zidane) kuwa CCM hatunaga Shuguli ndogo. Kila uchaguzi kwetu ni muhimu na wathamani sana. Sisi siyo CHADEMA ambao wanakimbia uchaguzi mdogo wanashiriki uchaguzi Mkuu. Wakati Uchaguzi mdogo ndiyo unatafuta mabega ya kusimama wakati wa kueleka na kipindi cha uchaguzi Mkuu.

Zitto anashangaa WanaCCM kama Mh Kassim Majaliwa, Mh Dkt Mpango, Mh Shaka, Mh Cecil Mwambe, Mh Nyarandu n wengine kuwepo kwenye kampeni. Anashangaa haya kwasababu ya neno "UCHAGUZI MDOGO" ahhaa! Hilo ni jina tu kutokana na Wakati na kiwango cha Uchaguzi husika lakini thamani na maudhui yake kwa CCM ni UCHAGUZI MUHIMU.

Zitto Yeye hakuwatuma akina Ado Shaibu wala akina Likapo Bakari na Nondo Abdul bali alikwenda Yeye na Haji Duni kwani wenyewe ni wepesi kiasi hicho!? Namkumbusha kuwa Siasa ya Chaguzi kwetu sisi siyo ya kupuuzwa ni Kazi kazi tena kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Zitto ahakikishe anajenga chama kitaasisi wala asijiingize kwenye siasa za lawama, matukio na kutegemea CCM tukosee ndiyo watumia hiyo fulsa. Lazima wajikite kiajenda na kimuono wala siyo kijanjajanja kama wale jamaa wanaogombea Viti maalumu 19 tu.

Kigoma Tumeshinda kwa Kishindo kikubwa kwasababu Upinzani bado wanaleta na kuendekeza siasa za kivulana kuliko za kimajukumu.

Ukitaka kujua nguvu ya CCM basi jifanye unajaribu kuhatarisha Uhai wake... Chadema wanajua maana walishaingia ndani ya 18 hadi sasa wanaogopa kuingia ulingoni wamebaki kutafuta huruma ya Mama[emoji1787][emoji1787].

Tanzania bila CCM itayumba.
Unataka watu watukane ili wawekwe kolokoroni hapa ili ubaki na MAJIZI wenzio humu siyo?
 
Dogo acha kujipa noyo
Wananchi wamewapuuza ccm na uchaguzi kwa ujumla. Kundi kubwa la wananchi haliridhishwi na ccm tena, kwa ujumla ccm iko nje ya muda bila wao kujua. Ukitaka kujua ccm imechokwa usiangalie ushindi, bali angalia idadi ya wapiga kura. Kama idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ni zaidi ya laki 3 sehemu zote kilipokuwa na uchaguzi leo, kisha wanatokea watu chini ya 50,000 hapo inabidi mjiulize. Ccm kwa sasa ni kama mwanafunzi anayepata division IV toka division I, lakini anajivunia kuwa wakwanza kwenye hiyo division IV! Kama mna akili na mnaamini mnakubalika, jiulize ni kwanini hamna wapiga kura kama zamani? Hebu weka idadi ya wapiga kura iliyojitokeza tujue inavyokubalika na sio kutangazwa washindi na tume yenu.
 
Acha kujifariji bhana!

Jizi liko motoni ndio, vipi sasa hiyo mifumo si muitoe maana si yupo yule mnaemsifia sana kwamba anawasikiliza?

Wapi namsifia kuwa ananisikiliza? Naona kila mahali unajaribu kuchomeka matamanio yako against huyo mama, ili akichemsha utake kuonyesha dhalimu alikuwa sawa. Ni hivi, huyo mama na mapungufu yake yote sio dhalimu kama jiwe fullstop.
 
Tunachoambiwa na kuaminishwa hapa ni kuwa, waliojitokeza kupiga kura ni wanachama na wapenzi wa CCM tu, wananchi wengine wamesusia sababu hawaridhishwi na hilo Chama. Yaani hata wangeenda kupiga kura wasingeipigia CCM ila kwa sababu hawaridhishwi nayo hawakujiokeza kupiga kura ili kuikataa, badala yake wamebaki nyumbani ili ipite tu. Yaani kampeni za upinzani ilikuwa za kuomba kura lakini wanaoombwa hizo kura wameamua kuyoenda kupiga hiyo kura sababu haridhishwi na CCM 😣😣
Kumbe kweli "Ukisusa wenzio wala"

Mkuu ndio tunataka mle hadi mvimbiwe, ni wakati wenu.
 
Wapi namsifia kuwa ananisikiliza? Naona kila mahali unajaribu kuchomeka matamanio yako against huyo mama, ili akichemsha utake kuonyesha dhalimu alikuwa sawa. Ni hivi, huyo mama na mapungufu yake yote sio dhalimu kama jiwe fullstop.
Siyo dhalimu kama shetani ndiyo!

Je kitu gani kimefanya msishiriki uchaguzi mdogo? Au ndio mmeamua kumuunga mkono moja kwa moja?
 
Utauza CHIU sana hapo Ipogolo hadi UKIMWI ukuchukue
Unaona sasa!

Dada wenzio wanaotafuta wanaume wako kule jukwaa la MMU nenda kule kaanzishe uzi wadau watakufuata tu inbox.

Hii tabia ya kuvamia tu wanaume nlikuonya hutampata mtu.
 
Back
Top Bottom