Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Katibu wa cha ACT Wazalendo mkoa wa Njombe Stanley Mbembati amesema chama chao kinaunga mkono kampeni ya chama cha CHADEMA ya No Reforms No Election kwani kama yatafanyika mabadiliko wanayoyahitaji yatanufaisha vyama vyote vya kisiasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mbembati ameeleza hayo wakati akizungumza leo Machi 28,2025 .
Ikumbukwe kuwa Membati siku ya Jumatano ya wiki hii alishiriki katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika mjini Makambako maeneo ya sokoni.