ACT Wazalendo ni kama TANU

ACT Wazalendo ni kama TANU

usiosemee moyo. ajiimbia lady JD. nenda kasikilize huo wimbo. hunijui, na huna cha kukoment juu yangu. huyo zitto namuonaga kwenye media tu. sijawahi hata kumuona physically.

Hata petro alimkana yesu,itakuwa wewe kiumbe dhaifu tu!
 
ACT inasonga mbele nyie endeleeni na mitusi yenu
 
Mimi sijaelewa, ACT imeanzishwa mwaka 2015, TANU 1954, leo vinafanana? Kawadanganye mwandiga huko.

Akili ya kuku kweli. ..kwani kufanana lazima mzaliwe siku moja? Kama ndivyo mbona mapacha wangekuwa wengi. ..acha kupinga kwa akili finyu. ...ACT-WAZALENDO kinafanana na TANU kimsingi na imani. ..vyama vingine sijui vinataka kuipeleka wapi nchi havisemi wazi. ..Hivi chadema wanaposema wako mlengo wa kati na Ccm iko mlengo gani? Mtaubadilisha vipi mfumo mnaoupigia kelele kwamba ndio tatizo kwa kutumia falsafa ile ile binadamu walewale tofauti ni majina na sura tu. ..alafu mnasema ni mabadiliko. ..Ujamaa wa kidemokrasia na azimio la Tabora lililobeba miiko ya uongozi ndio suluhisho la ubovu wa mfumo na watu. Hakuna chama kingine kinachoyaimba haya wazi. Ni ACT-WAZALENDO tu. Baado hakifanani na TANU? ....Kama Baado kakojoe ulale una usingizi mwingi mno. ....
 
Haya kiongozi mkuu wa chama umesikika, wasalimie mwandiga.
 
Back
Top Bottom