ACT ni chama pekee chenye dhamira ya dhati ya ukombozi. Tanzania ilipofikia Leo inahitaji chama chenye uthubutu wa ukombozi na sio uthubutu wa kusaka madaraka.
Mpaka sasa ACT inaamini katika kujitegemea zaidi ya kutegemea wahisani kama vilivyo vyama vikubwa vilivyotutangulia.
...
ACT inaamini katika uboreshaji wa uchumi wa ndani zaidi kama ilivyokua TANU kitu kisichoaminiwa na vyama vingine vya siasa Tanzania.
Kuelekea uchaguzi mkuu ni vyema tukalisoma vyema Azimio la Tabora ili tuujue muelekeo wa Tanzania yeti.
2015 ni mwaka wa maamuzi sahihi, ni mwaka wa mnyonge kuthaminiwa naye kujithqmini.
ACT kama TANU
Ndatama Mafuru