MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,081
- 35,365
Ww ulianzia na post 100? wacheni ulimbukeni toeni hojaJoin Date : 18th July 2015Posts : 4Rep Power : 0Likes Received 1Likes Given 0
Ww ulianzia na post 100? wacheni ulimbukeni toeni hojaJoin Date : 18th July 2015Posts : 4Rep Power : 0Likes Received 1Likes Given 0
ACT ni chama pekee chenye dhamira ya dhati ya ukombozi. Tanzania ilipofikia Leo inahitaji chama chenye uthubutu wa ukombozi na sio uthubutu wa kusaka madaraka.
Mpaka sasa ACT inaamini katika kujitegemea zaidi ya kutegemea wahisani kama vilivyo vyama vikubwa vilivyotutangulia.
Tunaamini kutegemea wahisani ni utumwa Huru tunaodhani utatukomboa.
Chama kisichoridhika na ruzuku au kisichotumia ruzuku vyema kujiendesha ni dhahiri hata mapato ya serikali hayatokidhi mahitaji yao tukiwakabidhi serikali.
TANU iliendeshwa kwa michango ya watanganyika na Leo hii ACT inaendeshwa kwa michango ya wanachama wake na michango hiyo kutumika vyema.
ACT inaamini katika uboreshaji wa uchumi wa ndani zaidi kama ilivyokua TANU kitu kisichoaminiwa na vyama vingine vya siasa Tanzania.
Kuelekea uchaguzi mkuu ni vyema tukalisoma vyema Azimio la Tabora ili tuujue muelekeo wa Tanzania yeti.
2015 ni mwaka wa maamuzi sahihi, ni mwaka wa mnyonge kuthaminiwa naye kujithqmini.
ACT kama TANU
Ndatama Mafuru
Na chadema chama cha wanafiki
Nilidhani kuna cha maana kumbe ni utumbo tu!
ACT ndo mpango mzima kwa sasa.
Amedanganya nini...au wewe ujitambui.
act takataka
Ni kweli, kama hutaki una ubishi wa kutumwa.
Wewe mwalimu Kaijage wa genge la wahuni & wasaliti a.k.a ACT ni tapeli. Hangaikia mambo ya ndani ya genge lenu. CHADEMA ni taasisi imara isiyotegemea umaarufu wa mtu mmoja km genge lenu
Tatizo nini! tena mm naongezea mhusika ni ZUZU WENU MBOWE, akili zenu zakushikiliwa na Mtu ZERO asie semwa kama mungu tunajua nimungumtu wa vilaza wa cdm na si wote
act takataka
MM siko ivyo wapo wakupewaPunguza kangara za mchana ndugu yangu, unaona unavyohamaki kama mlevi wa gongo? kaazi kweli kweli ukipewa buku tano za kupiga porojo humu kanunue mchele na maharage wanao wale acha kangara a mchana
Upo fasta sana weweKwani zile zilizozinapokelewa kupitia western union nazo ni michango ya wanachama?
usiosemee moyo. ajiimbia lady JD. nenda kasikilize huo wimbo. hunijui, na huna cha kukoment juu yangu. huyo zitto namuonaga kwenye media tu. sijawahi hata kumuona physically.Wewe tunakujua kuwa bila zzk huwezi kuishi
CHAGADEMA matapishi
Upo fasta sana wewe