ACT Wazalendo ni kama TANU

ACT Wazalendo ni kama TANU

ndatama

Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
10
Reaction score
4
ACT ni chama pekee chenye dhamira ya dhati ya ukombozi. Tanzania ilipofikia Leo inahitaji chama chenye uthubutu wa ukombozi na sio uthubutu wa kusaka madaraka.

Mpaka sasa ACT inaamini katika kujitegemea zaidi ya kutegemea wahisani kama vilivyo vyama vikubwa vilivyotutangulia.

Tunaamini kutegemea wahisani ni utumwa Huru tunaodhani utatukomboa.

Chama kisichoridhika na ruzuku au kisichotumia ruzuku vyema kujiendesha ni dhahiri hata mapato ya serikali hayatokidhi mahitaji yao tukiwakabidhi serikali.

TANU iliendeshwa kwa michango ya watanganyika na Leo hii ACT inaendeshwa kwa michango ya wanachama wake na michango hiyo kutumika vyema.

ACT inaamini katika uboreshaji wa uchumi wa ndani zaidi kama ilivyokua TANU kitu kisichoaminiwa na vyama vingine vya siasa Tanzania.

Kuelekea uchaguzi mkuu ni vyema tukalisoma vyema Azimio la Tabora ili tuujue muelekeo wa Tanzania yeti.

2015 ni mwaka wa maamuzi sahihi, ni mwaka wa mnyonge kuthaminiwa naye kujithqmini.

ACT kama TANU
Ndatama Mafuru
 
Nenda kawadanganye wahuni wenzako huko ACT. ACT haina hadhi ya kuitwa chama, bali ni genge la wahuni, majizi, walaghai, matapeli na wasaliti. Hapa unapoteza muda wako tu mkuu
 
Naomba utaratibu wa Kugombea ACt nataka jimbo la kibamba kwa binti Mona
 
ACT ni chama pekee chenye dhamira ya dhati ya ukombozi. Tanzania ilipofikia Leo inahitaji chama chenye uthubutu wa ukombozi na sio uthubutu wa kusaka madaraka.

Mpaka sasa ACT inaamini katika kujitegemea zaidi ya kutegemea wahisani kama vilivyo vyama vikubwa vilivyotutangulia.

Tunaamini kutegemea wahisani ni utumwa Huru tunaodhani utatukomboa.

Chama kisichoridhika na ruzuku au kisichotumia ruzuku vyema kujiendesha ni dhahiri hata mapato ya serikali hayatokidhi mahitaji yao tukiwakabidhi serikali.

TANU iliendeshwa kwa michango ya watanganyika na Leo hii ACT inaendeshwa kwa michango ya wanachama wake na michango hiyo kutumika vyema.

ACT inaamini katika uboreshaji wa uchumi wa ndani zaidi kama ilivyokua TANU kitu kisichoaminiwa na vyama vingine vya siasa Tanzania.

Kuelekea uchaguzi mkuu ni vyema tukalisoma vyema Azimio la Tabora ili tuujue muelekeo wa Tanzania yeti.

2015 ni mwaka wa maamuzi sahihi, ni mwaka wa mnyonge kuthaminiwa naye kujithqmini.

ACT kama TANU
Ndatama Mafuru
Nilidhani kuna cha maana kumbe ni utumbo tu!
 
Chama kina wiki mbiliTOKA KIANZISHWE HAKIWEZI PEWA NCHI NI WAJINGA PEKEE NDIYO WANAWEZA KUSIKILIZA UTUMBO UNAONGEA SASA
 
ACT ndo mpango mzima kwa sasa.

Tutawathibitisha kwa hilo wiki mbili zijazo kama hawatawangangania wale waliokatwa CCM na chadema. Kama hawatawangangania hoja yako itakuwa kweli!!!
 
Chama kina wiki mbiliTOKA KIANZISHWE HAKIWEZI PEWA NCHI NI WAJINGA PEKEE NDIYO WANAWEZA KUSIKILIZA UTUMBO UNAONGEA SASA

chadema na wanachama wake ni vyakubimbi, lowasa mlimtukana sana na kumjengea sifa mbaya kwa watanzania Leo hii mnamkaribisha agombee kupitia chadema hamuon kuwa ninyi ndio wasaliti ndani yenu?. kwa taarifa yenu msimamishen muone moto, zitto kawapa ulaji Leo hii mmeng'ang'ana kumchafua, ilo ni genge LA wavuta bangi tu na si chama cha siasa. chadema kimechukua miaka 10 kukua ACT kina mwaka mmoja tu mnajamba why? , kama wanaume nendenkatetee majimbo ya mwanza, na huyo lembel imekula kwake.
 
Wewe mwalimu Kaijage wa genge la wahuni & wasaliti a.k.a ACT ni tapeli. Hangaikia mambo ya ndani ya genge lenu. CHADEMA ni taasisi imara isiyotegemea umaarufu wa mtu mmoja km genge lenu
 
Back
Top Bottom