mnyalukoloh
Member
- Jun 8, 2015
- 74
- 33
Ikiwa zimbaki siku chache kufikia siku ya ziara ya kiongozi mkubwa wa ACT wazalendo na kamati yake chama hicho kimeendelea kuwanyima usingizi wanachadema pamoja na watani wao wa CCM kuona kila uchao viongozi na wanachama wao wakikimbilia ACT Wazalendo. Na Pia umetokea uungwaji mkono mkubwa kwa ACT Wazalendo kutoka mojo ya makundi yaliojitokeza baada ya vurugu zilizojitokeza ndani ya chademamjini vwawa mbozi.
Chama cha ACT Wazalendo kimeonekana kuwa kimbilio kwa wanachama wanaoshindwa kuridhishwa na uhaba wa demoklasia katika vyama vyao.
Mpaka sasa tangu kutokea kwa mgogolo ndani ya chadema, ACT Wazalendo imepokea zaid ya wanachama mia nane ktk wilaya ya momba na mbozi na kati ya hao themanini walikuwa ni viongozi.
Katika upande wa kitaifa act wazalendo imeshapokea zaid ya wabunge kumi na wanane wanao toka CCM na chadema pamoja na wanasiasa mashuhuri.
Na wengine kibao wanaosubiri tuu kipyenga waanze kuvua magwanda.
Kiufupi act wazalendo ndo chama pekee cha upinzani kwa sababu kina upinzani kutoka pande zota tofauti na CHADEMA inayopokea upinzani tuu kutoka CCM na ACT Wazalendo.