ACT-Wazalendo, kimemuomba Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, asimamie mwenyewe zoezi la kurejeshwa kwa majina ya wagombea

Thubutu; ajaribu kuwarejesha aone kama hatakwemda kulima mihogo kwao Mzenga.
 
Kwanin awamu hii tu ndio haya yametokeaAcheni upuuzi
 
Nashangaa baadhi ya watu wanafanya suala la kujitoa kama jipya!

Maalim Seif alianza tena kwenye Uchaguzi Mkuu na tunafahamu kilichotokea.

Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ambao hauna hata foreign observer nani atahangaika nao!

Nchi nyingi sana zina mahusiano ya kibalozi na Tanzania na wana wawakilishi wao hapa. Wanaona na kujua kila kinachooendelea na hawafurahii na kushangilia. Subiri utayaona matokeo ya maelekezo toka juu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…