ACT Wazalendo Kimara Matangini tarahe 6/06/2015

Kazi maalum

Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
38
Reaction score
4
Tarehe tajwa hapo juu, kulikua na uchaguzi wa viongozi wa chama mtaa wa matangini na kata ya saranga uliofanyikia kwenye bar moja inaitwa Matungucha,

Wajumbe waliouzulia walikua 30, kwa bahat mbaya sana walishndwa kusimika uongozi wote ktk eneo hilo, walibahatika kumpata mwenyekiti wa kata ni mzee mmoja hivi alikua CUF kipindi hicho na Mwenyekiti wa baraza la wazee anaitwa Hussein nae katoka CUF, huyu Husseni aligombea ujumbe kupitia ukawa mtaa wa Matangini akashndwa.

Pia baada ya ajenda ya uchaguzi, kulikua na ajenda ya kuandaa propaganda dhidi ya cdm jimbo la ubungo, propaganda kubwa tatu.

1. Ni chama cha kidini na ukanda

2. Watazungumzia sana katiba ya CHADEMA

3. Tatizo la maji jimbo la ubungo na propaganda ya nne viongozi walikua wakiendesha kikao hicho wanaenda kuandaa propaganda afu watawatumia wajumbe walio huzulia huo uchaguzi maana waliondoka na number za simu za wajumber.

Cha kushangaza sana ajenda kuu zilikua ni dhidi ya cdm na sio chama chenye dora.

ACT jipangeni upya ubungo hamutaiweza kamwe.
 
ACT ......ni chama cha wasaliti , na laana ya usaliti ni mbaya sana maana inaweza hata kutafuna ubongo.....
 
Wanafanya siasa wakiwa na laana inayo watafuna na ndio maana hawafanikiwi.
 
ACT bado wachanga sana, wanafanya siasa kitoto sana! Et wanaanda propaganda ambazo ccm wamezitumia wakashndwa. Wasipo kuwa makini na zzk watapoteza muda wao 2 maana wanafanya kazi ya zzk msaliti pasipo kujua.
 
ZZK yeye ana uhakika WA kushinda ubunge kigoma wengine watajijua,anachotaka yeye ni ubunge tu wala si chama.
 
Na ubunge mwaka huu hapati, atausikia tu, zambi ya usaliti itamtafuna huyu yuda had ajifunze.
 
ACT bado wachanga sana, wanafanya siasa kitoto sana! Et wanaanda propaganda ambazo ccm wamezitumia wakashndwa. Wasipo kuwa makini na zzk watapoteza muda wao 2 maana wanafanya kazi ya zzk msaliti pasipo kujua.

Mkuu wew na mleta mada mnaakili inayofanana hizo propaganda mnazozisema ni zip ama ama ni mihemuko na mahaba tu dhidi ya chadema
 
Nilishasema sitachangia mada yeyote inayohusu ACT-wazaa-lindo
 
Wanasiasa wote akili yao moja tu.
Kwa dhana ya usaliti wote ni wasaliti cs chama mama ni kimoja tu na wote walikua humo so siuoni usaliti wa ACT Bali nnachokiona ni kua hamna hata MTU aliye ndani ya chama chochote anaewaza maendeleo ya watu wake.
 
Tarehe tajwa hapo juu, kulikua na uchaguzi wa viongozi wa chama mtaa wa matangini na kata ya saranga uliofanyikia kwenye bar moja inaitwa Matungucha,

Wajumbe waliouzulia walikua 30, kwa bahat mbaya sana walishndwa kusimika uongozi wote ktk eneo hilo, walibahatika kumpata mwenyekiti wa kata ni mzee mmoja hivi alikua CUF kipindi hicho na Mwenyekiti wa baraza la wazee anaitwa Hussein nae katoka CUF, huyu Husseni aligombea ujumbe kupitia ukawa mtaa wa Matangini akashndwa.

Pia baada ya ajenda ya uchaguzi, kulikua na ajenda ya kuandaa propaganda dhidi ya cdm jimbo la ubungo, propaganda kubwa tatu.

1. Ni chama cha kidini na ukanda

2. Watazungumzia sana katiba ya CHADEMA

3. Tatizo la maji jimbo la ubungo na propaganda ya nne viongozi walikua wakiendesha kikao hicho wanaenda kuandaa propaganda afu watawatumia wajumbe walio huzulia huo uchaguzi maana waliondoka na number za simu za wajumber.

Cha kushangaza sana ajenda kuu zilikua ni dhidi ya cdm na sio chama chenye dora.

ACT jipangeni upya ubungo hamutaiweza kamwe.

= hudhuria
= dola

cc Petro E. Mselewa
 
Last edited by a moderator:

Pole sana hakuna upuz. Kama huo kama watafuta sifa hum jipange tena
 
Mkuu wew na mleta mada mnaakili inayofanana hizo propaganda mnazozisema ni zip ama ama ni mihemuko na mahaba tu dhidi ya chadema

Wana jitekenya wenyewe kisha wanacheka wenyewe
 
Back
Top Bottom