ACT Wazalendo Kimara Matangini tarahe 6/06/2015

ACT Wazalendo Kimara Matangini tarahe 6/06/2015

Ndugu Mleta mada,
1.Kwanza uandishi hata wa kawaida tu unakushinda,unaandika bila kueleweka na unakosea kosea maneno ya kiswahili cha kawaida tu eg huzulia,Dora,wajumber,hamutaiweza etc.Kuwa makini koz vitu kama hivi vinafanya mtu akujue mapema ni mtu wa Class gani ya upeo na hivo kukudharau kirahisi hata kama hufai kudharauliwa
2.Hata kama unachoongea kitakuwa ni kweli nafikiri sio vibaya kuli address tatizo la maji Ubungo kwani lipo na linatesa sana wananchi wa Ubungo mbaya zaidi mbunge ambaye aliingia bungeni kwa ahadi ya kulitatua hajui nini anafanya and He doesnt give a damn(tunamsubiri Oktoba)
3.Yeyote kutoka chama chochote atakayekuja na sera za kueleweka atapewa jimbo la Ubungo na akiboronga kama mnyika uchaguzi unaofuata inakula kwake.
 
wanasiasa wote wanajiwaza wao kwanza mambo ya wananchi badae sana tena wakati wa kuomba kura ...siasa zmelaaniwa hasa kwetu waafrika
 
Back
Top Bottom