Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,827
- 50,499
Ukifuatilia ACT tangu chaguzi za 2015, mwenendo wake kisiasa, utabaini ACT ni CCM-BHivi vyama vinafanana Falsafa zake na husaidiana kupambana na CHADEMA na kwa kuwa ni vyama vya kijamaa, kwa nini chama kidogo cha kijamaa (ACT) kisijiunge na chama Kikubwa cha kijamaa (CCM) na kuwa sehemu ya chama hicho?
Nadhani itakuwa vyema na haki ACT ikajiunga CCM.
Sasa si wajiunge tu CCM?Ukifuatilia ACT tangu chaguzi za 2015, mwenendo wake kisiasa, utabaini ACT ni CCM-B
CHADEMA ni chama cha Kibepari, kitajiungaje na chama cha kijamaa??Bora ACT Mara elfu 1 kuliko chadema
Kwani lini viliachana?Hivi vyama vinafanana Falsafa zake na husaidiana kupambana na CHADEMA na kwa kuwa ni vyama vya kijamaa, kwa nini chama kidogo cha kijamaa (ACT) kisijiunge na chama Kikubwa cha kijamaa (CCM) na kuwa sehemu ya chama hicho?
Nadhani itakuwa vyema na haki ACT ikajiunga CCM.
Ukifuatilia uchaguzi wa 2005 utabaini chadema ni ccm-bUkifuatilia ACT tangu chaguzi za 2015, mwenendo wake kisiasa, utabaini ACT ni CCM-B
Wapo pamoja kinadharia. Sasa waungane kivitendo. ACT ndiyo wajiunge CCM.Kwani lini viliachana?
Wapo CCM tangu mwanzoWapo pamoja kinadharia. Sasa waungane kivitendo. ACT ndiyo wajiunge CCM.
Inajulikana hata kama wanajificha kwenye kivuli cha "Uzalendo".Wapo CCM tangu mwanzo
Ni tawi la CCMInajulikana hata kama wanajificha kwenye kivuli cha "Uzalendo".