ACT-Tanzania vs ACT-Wazalendo

ACT-Tanzania vs ACT-Wazalendo

bnf

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
218
Reaction score
79
Mimi ni mwanachama mpya wa ACT. Ila kilichonishangaza ni kibwakizo chetu katika mkutano wa jana

Mwenyekiti mpya akivyosema ACT...Waitikiaji ulikuwa ni mchanganyiko..wengine waliitikia ..TANZANIA wengine ..WAZALENDO...yaani hata mwenyekiti akuelewa alibaki akiduwaa

Na mi nilikuwa sijui kumbe kuna ACT mbili

Naombeni TOFAUTI YA HIZI ACTs Nami nifanye uamuzi kwani nimeshaingia siwezi toka...humu humu mpaka kieleweke ila naomba tofauti nami nichague niende ipi

Shukrani
 
mimi ni mwanachama mpya wa ACT. Ila kilichonishangaza ni kibwakizo chetu katika mkutano wa jana

Mimi na mzee wangu Kadawi Limbu tunaitambua ACT tanzania..
 
ACT Academia(Limbu) na ACT Chipolopolo.(Mwigamba,Zitto,Mchange).
 
mimi ni mwanachama mpya wa ACT. Ila kilichonishangaza ni kibwakizo chetu katika mkutano wa jana

Mwenyekiti mpya akivyosema ACT...Waitikiaji ulikuwa ni mchanganyiko..wengine waliitikia ..TANZANIA wengine ..WAZALENDO...yaani hata mwenyekiti akuelewa alibaki akiduwaa

Na mi nilikuwa sijui kumbe kuna ACT mbili

Naombeni TOFAUTI YA HIZI ACTs Nami nifanye uamuzi kwani nimeshaingia siwezi toka...humu humu mpaka kieleweke ila naomba tofauti nami nichague niende ipi

Shukrani

Wewe gwanda mkubwa, ACT hatuna mwanchama mwenye akili kama zako,
 
mimi ni mwanachama mpya wa ACT. Ila kilichonishangaza ni kibwakizo chetu katika mkutano wa jana

Mwenyekiti mpya akivyosema ACT...Waitikiaji ulikuwa ni mchanganyiko..wengine waliitikia ..TANZANIA wengine ..WAZALENDO...yaani hata mwenyekiti akuelewa alibaki akiduwaa

Na mi nilikuwa sijui kumbe kuna ACT mbili

Naombeni TOFAUTI YA HIZI ACTs Nami nifanye uamuzi kwani nimeshaingia siwezi toka...humu humu mpaka kieleweke ila naomba tofauti nami nichague niende ipi

Shukrani

Kuna act tanzania original ya kina limbu na act chipolopolo ya kina zito.yaani kwa kifupi wameshasalitiana tena
 
Wanajamvi nisaidieni, hivi ACT-Tanzania na ACT-Wazalendo ni chama kimoja? Naona kama kuna chama kimejisajili kinyemela hivi!

Au bado linatafuta jina muafaka? Kwa msajili kuna chama gani?
 
Katiba ipi iko kwa msajili? Ni yenye structure hii ya uongozi?
 
Wazalendo imekuja baada ya kubadiri kutoka ACT Tz katika katiba. Hivyo hakuna ACT Tz.
 
Chadema mnatapatapa kama kuku mwenye kideri,ACTimewashika pabaya
 
Back
Top Bottom