ACT- TANZANIA tatueni haya kwanza

ACT- TANZANIA tatueni haya kwanza

Mpangawangu

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
887
Reaction score
965
Watanzania wanakiu ya mabadiliko ya kweli.
Baada ya chama kinachojipambanua kusimama na wanyonge dhidi ya mabepari wanaotumia rasilimali za taifa bila usawa,chama kimeweka misingi,itikadi na falsafa vilivyowavutia wengi

Sasa chama kinakabiliwa na changamoto ya uhaba wa vifaa vya uenezi na kadi za wanachama.

Kwa wale viongozi wa chama cha wazalendo,tunaomba mtuletee kadi mikoani,mahitaji ni makubwa kuliko tulivyotegemea.

Leteni kadi,tukate kiu kwa kuandika historia ya chama kitakacho ifanya Tanzania kuwa taifa linaloheshimika Duniani.
 
Hizi bangi mnazovuta bila kula ni hatari kwa vichwa vyenu
 
Msiwe na wasiwasi. Kinana na Mwigulu wameshawasikia - majibu yenu fuatilieni kwa Mchange.
 
Back
Top Bottom