ACT - Tanzania sasa yakanwa hadharani

Jan 27, 2015
50
70
Jana 1/4/2015 baadhi ya wabunge CHADEMA waliohusishwa kujiunga na ACT waliikana tena kwa kusema kuwa waliowashutumu kujiunga ni wazandiki! Mh. John Paul Shibuda ALISEMA HAGOMBEI Ubunge maswa na ahami CDM , Mh.Halima Mdee alisema naipenda chadema zaidi ubunge na watu wanaojiita ACT wanajoin mitandao ya kijamii kwa jina lake na kumpakazia mambo ya hajabu hajabu, Lusinde anakwambia ZZK alikosea sana kukimbia CDM angebanana tuu.

Team Lowasa imewaonya wasiwasogelee maana itawaaribia sana maana ACT hata viongozi wa Dini hawaipendi na hawataki hata kukisikia.
 
Viongozi wa Dini hawaipendi!.. damn hili linchi hili limerogwa na alowaroga kisha kufa.
 
kinyesi.

Jana 1/4/2015 baadhi ya wabunge CHADEMA waliohusishwa kujiunga na ACT waliikana tena kwa kusema kuwa waliowashutumu kujiunga ni wazandiki! Mh. John Paul Shibuda ALISEMA HAGOMBEI Ubunge maswa na ahami CDM , Mh.Halima Mdee alisema naipenda chadema zaidi ubunge na watu wanaojiita ACT wanajoin mitandao ya kijamii kwa jina lake na kumpakazia mambo ya hajabu hajabu, Lusinde anakwambia ZZK alikosea sana kukimbia CDM angebanana tuu.

Team Lowasa imewaonya wasiwasogelee maana itawaaribia sana maana ACT hata viongozi wa Dini hawaipendi na hawataki hata kukisikia.
 
genge la wasaliti na wasaka tonge kwa nguvu, lita sambaratika very soon!
 
Kiongozi mkuu anachaguliwa bila nafasi kutangazwa, anachaguliwa bila kujaza fomu ya maombi, anachaguliwa kwa kurekebisha katiba leo na uchaguzi hapo hapo, ACT ya ZITTO ni uthibitisho wa wasomi wa TZ kuwa na akili fupi.
 
Mkuu wa chama ayatollah zzk ni kichwa ngumu sana. Baada ya uchaguzi ndo mwisho wake maana ccm watakuwa washatimiza malengo
 
Mimi nawashangaa sana mlisema kimekufa kabla hakijazinduliwa,Lakini leo mnasema wamekikana vipi walio weka agano na mungu wakamkana na kukimbia upadri kwa ajiki ya tamaa ya ngono.
 
Ni chizi pekee unaeweza kumuelezea Azimio la Arusha AKAKUELEWA-Nyerere JK
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom