Ww haupo tz au na ww ulifungiwa kwenye box habari za mujini hujui act ni chama cha kizalendo namini kitaleta mageuzi tena makubwa
Vuwa gamba vuwa gwanda vaa uzalendo
Nilijua mshakufa, kumbe bado mpo??
Mnaona watu ni wajinga sana eti eh?
mkuu mbona leo hujanitukana aiseee!?
Kule duru za siasa tumeongelea jinsi ambavyo chama hiki kinaanza kwa matatizo.https://www.jamiiforums.com/great-t...a-cha-act-mpini-wa-ccm-kumaliza-upinzani.html
ahaa! ndicho mlichojadili huko eh! ok! basi sawa, hamna shida. N,ngaki nguruvi mbiri ndatu aho!
Kama mwenezi alivyofafanua wakati inaonekana mwenezi na wewe ni mtu mmoja maana mawazo na akili zenu zinafanana...
hatuoni watu ni wajinga,,,,katika kuishi chini ya msingi wa "utu" ambao mwenezi amefanunu hapo juu katu hatupaswi kuona watu ni wajinga,,bali tunapaswa kuona kila wakti binadamu anhutaji kujifunza,,,kwa kufanya hivyo ndipo atakuwa "mtu"....wewe si mjinga ila kuna haja ya kujifunza...
Kule duru za siasa tumeongelea jinsi ambavyo chama hiki kinaanza kwa matatizo.https://www.jamiiforums.com/great-t...a-cha-act-mpini-wa-ccm-kumaliza-upinzani.html
ahaa! ndicho mlichojadili huko eh! ok! basi sawa, hamna shida. N,ngaki nguruvi mbiri ndatu aho!
ndo dawa yenu mapopo,dawa ya popo ni kumpa kichapo mpaka aseme yupo kundi gani
Mkuu sijasikia Tamko lenu ama pole za Msiba wa Mama yetu Mpendwa ambaye Mwanawe ni Mlezi wenu ACT
ndo dawa yenu mapopo,dawa ya popo ni kumpa kichapo mpaka aseme yupo kundi gani
Ni kweli kabisa ndugu yangu! Mzima lakini?
ndo dawa yenu mapopo,dawa ya popo ni kumpa kichapo mpaka aseme yupo kundi gani
Ni kweli kabisa ndugu yangu! Mzima lakini?
Tunawasubiri kwa nguvu kubwa na kasi zaidi.
hatuoni watu ni wajinga,,,,katika kuishi chini ya msingi wa "utu" ambao mwenezi amefanunu hapo juu katu hatupaswi kuona watu ni wajinga,,bali tunapaswa kuona kila wakti binadamu anhutaji kujifunza,,,kwa kufanya hivyo ndipo atakuwa "mtu"....wewe si mjinga ila kuna haja ya kujifunza...
Natutaendelea kuwepo kwani wananchi wamekikubali na kila kinapo henda kinakubalika viva act viva
Nguruvi3
Tatizo lako unasukumwa na mawazo yako yalichanganyika na chuki binafsi,ushauri wangu kwako usiwalishe watu maneno ambayo hayajasemwa.
ACT-Tanzania ni chama kidogo sana kuliko vyama vyote unavyovijua chakushangaza nyie wafuasi wa Chadema povu linawatoka,lakini siwashangai hata CUF mlikuwa mnasema ni CCM B leo vipi?Unafiki ni kitu kibaya sana mara bendera ina nyota hichi chama ni cha kiislamu zile zile sera za CCM mmezibeba.
Nguruvi3 wewe ni katika "great thinker" lakini kwa ulichoandika hapo juu kajipange upya....
wapi huko kinapokubalika? Toka lini wasaliti wakakubalika? Soon mtasahaulika.
wapi huko kinapokubalika? Toka lini wasaliti wakakubalika? Soon mtasahaulika.
Ofisi zenu mmeshamaliza kuzijenga?
Kama ACT ingalikuwa na watu makini,ingeshakataa support ya ccm.
Vinginevyo,tunashindwa kuwatofautisha!