PHILIPLULINDA
Senior Member
- Jun 1, 2013
- 181
- 89
Uongozi Mpya uliochaguliwa Kihalali unasema kwamba HATUMTAMBUI limbs na wala asijisumbuekwa Lolote ndani ya Katiba ya ACT TANZANIA. tamko hilo limetolewa na viongozi wa Majimbo Ya lushoto, TANGA, na Majimbo yote ya Mkoa, Tunatambua limbs sio mwa chama wa ACT TANZANIA.