ACT sio CCM B kama wengi mnavyodhani

kaka hujameza hayo mataptap utakuwa umenielewa
 
Shule za kata zimejengwa na nani? Wakati huo huo tunalaumu hazina maabara wala maktaba...kitu kinachopingana na ueledi wa taaluma...be specific.... mkuu ar u oppossing zitto or the system that let us to be poor?
 
ujanielewaa? najua wa tz sio wajinga tena na sina uwakika zito anafadhiliwa na ccm. ila nachokijua kura za upinzani zinatakiwa kuwa nyingi kwani adui ni ccm
 
WISE. sana jamaaa system ndio adui yetu nashangaa tenaa wamegawanywa wao kwa wao wamemsahau adui.. wanalalamika kura zinagawanywa. kwanini hatujiamini ccm wametulia ndio maana wanashinda upinzani wanapagawa huu ni muda wa kutuliza akili?
 
Then ZZK na ACT wamekuja kugawa kura za UKAWA! ... Bahati mbaya sana zitagawa za CCM ...
ujanielewaa? najua wa tz sio wajinga tena na sina uwakika zito anafadhiliwa na ccm. ila nachokijua kura za upinzani zinatakiwa kuwa nyingi kwani adui ni ccm
 
Act imeazishwa kimkakati kui accommodate ccm makapi,yaani Kama watakata jina la El then atahamia Act na wafuasi wake.
 
Kamahujui unachokiongea ni vema ukakaa kimya kwa kuficha upumbavu wako. Aliyekwambia kuwa Marekani ni vyama viwili vya siasa nani?
Kwa taarifa yako Marekani ina vyama vya siasa zaidi ya 50 ila vikubwa na unavyovijua wewe ndiyo viwili(Democratic & Republican) kama ilivyo Tanzania CHADEMA & CCM-Gambaz.
 
huyu kijana GALACHA ndio walewale LUMUMBA TEAM aka BUKU7
 
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Furahisha Mwanza juzi ambao ulihudhuriwa na wafuasi wachache wa chama hicho, Mnyika alisema Chadema haiko tayari kuikaribisha ACT-Wazalendo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutokana na kile alichosema ‘ni adui kwao’.
 
adui wa tz sio upinzani
 
Tuambie nan alie toka CCM na kuamia ACT.
 
Hivi na ww unaweza kuisema act kwa ndoa hii ya miezi michache kesho ukawa ukivunjika utasema nini ten
 
Kwani ametumika mara ngapi? Na hadi sasa anatumika.kama act cyo ccm b tutajie wafadhili wa act.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…