Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,902
- 28,018
potelea mbali waseme vyovyote,mwanzo mgumu lkn wanauhakika na viti 10,kuna vyama vlianzishwa hata kiti kimoja walikosa,na viliishi na badae vikawa tishio,kuliko kuwa mjumbendio na mtumwa na kubaguliwa afadhali muanze upya ili kuwa na demokrasia na uzalendo wa kweli kwa nchi yetu me niko kusini nawasubiri kwa hamu wakina ZITTO.
Samahani wadau mimi nilikuwa Offline siku nyingi sana. Sijui ACT kimesajiliwa lini, nani viongozi wake? Naomba kupewa ufahamu huu
Nenda google ukitafute ukikikosa tu tambua sio chama cha siasa ni kilabu ya pombe iliyopo mwandiga kigoma.
Sadaktakawaida haki haichangamani na batili,hivyo kwa kadiri haki inavyochipua:ndivyo batili nayo inazidi kuchepuka! tatizo tunasahau Mwisho wa ubaya aibu, na ni bora lawama kuliko fedheha!
Act ndo mkombozi wa watanzania,cdm ni ukoo wa mtei,ni saccos ya mbowe na genge la wachaga.
Aisee.....Zitto alikupa nini mbona unampapatikia hivyo..
Nimefungua computa yangu baada ya kupigiwa simu, nikaona yanayosemwa ktk hii thread na pia kwamba wananitaja kwamba CHADEMA ni chama cha ukoo wangu na ni SACOs ya Freeman Mbowe mkwe wangu.
Singetaka kumaliza wakati juu ya ACT, ambacho ni chama kilichoanzishwa wiki mbili zilizopita na Samson Mwigamba aliyefukuzwa kihalali toka CHADEMA. Bado hakijapata usajili wa kudumu. Kina jina linalovutia, lakini lazima ujue Kiingereza ulielewe.
Ningeshauri CHADEMA na Watanzania wanaopenda demokrasia na maendeleo ya dhati wajishughulishe na kuimarisha chama kinachoeleweka, cha vijana na wazee wazalendo, na kinachojali maslahi ya wanyonge.
Tumebuni kauli mbiu yetu: HAKUNA KULALA, MPAKA KIELEWEKE!!!!!
ACT ni chama makini.cha siasa
Naona unampigania shemeji yako Zitto kwa nguvu zote.
Hongera kwa kusongoka mzeee,ukmaliza pitia na kashata pale gengeni!
ACT ni chama makini sana cha siasa. ni mkombozi wa watanzania . Watanzania wote wanaipenda sana ACT
Hivi wewe laki si pesa uko chama gani au ndo bendera fuata upepo
Ukewenza taabu tupu, ACT na CUF si mme mmoja, ndo maana ACT iko kiuno juu na kanga moja kutwa nzima.
unaumwa wewe ..ACT na CUF wapi na wapi act ni chama makini hakina ubaguzi wa dini wala kabila
Nilichosema mimi wote wake wa SSM au unaongelea nini???
hiyo ndoa uliifungisha wewe. acha bangi dogo
Kuwa mke wa mtu kunahitaji ndoa?, au watu wawili wakikubaliana??? kama ambavyo CUF na ACT kwa upande mmoja walivyokubaliana na CCM???