ACT presha ya nini!

Samahani wadau mimi nilikuwa Offline siku nyingi sana. Sijui ACT kimesajiliwa lini, nani viongozi wake? Naomba kupewa ufahamu huu
 
ACT msikate tamaa,eti ni cha wa kigoma mbona hata CDM ni cha Mtei na mkwe wake mbowe?
 
Jamani ebu tuweni magreat thinker kwa kuacha kujadili vitu ambavyo havipo na havita kuwepio. Hiyo ACT ndio nini? kama sio kupotezeana muda tu.
 

Jamani naomba nifahamishwe kwa upana wake, ACT ni nini? cha nani?? kimesajiliwa lini???
 
ACT ni chama makini.cha siasa

Naona hiyo kitu inayojiita ACT imeanza kuingiza mamluki humu jukwani. huyu ni mmoja wao.
Join Date : 7th March 2014
Posts : 233
Rep Power : 347
Likes Received23
Likes Given0
 
Naona hiyo kitu inayojiita ACT imeanza kuingiza mamluki humu jukwani. huyu ni mmoja wao.
Join Date : 7th March 2014
Posts : 233
Rep Power : 347
Likes Received23
Likes Given0

mimi sio mamluki ni mtanzania mzalendo ninaesubiri ukombozi kupitia chama makini cha ACT
 
Act ndo mkombozi wa watanzania,cdm ni ukoo wa mtei,ni saccos ya mbowe na genge la wachaga.
ACT ukoo wa zitto mpalula migebuka chama cha misikitini kimeanza kwa fujo kali utapojua kinaungana na wapambe wa Lumumba angalia mateja yake
 
ACT ukoo wa zitto mpalula migebuka chama cha misikitini kimeanza kwa fujo kali utapojua kinaungana na wapambe wa Lumumba angalia mateja yake

chadema tumeshawazoea kwa ubaguzi . kama act ni chama cha misikiti na chadema ni chama cma makanisa?
 
potelea mbali waseme vyovyote,mwanzo mgumu lkn wanauhakika na viti 10,kuna vyama vlianzishwa hata kiti kimoja walikosa,na viliishi na badae vikawa tishio,kuliko kuwa mjumbendio na mtumwa na kubaguliwa afadhali muanze upya ili kuwa na demokrasia na uzalendo wa kweli kwa nchi yetu me niko kusini nawasubiri kwa hamu wakina ZITTO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…