ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

Yule msariti wa Lindi somebody Chitanda aliasi kisa zzk leo yuko ccm , implication ni kwamba njia yao ni moja
 
Mkuu,

Nimekuwa nikisoma mada nyingi sana katika ukumbi huu ambazo umezianzisha!

Naomba nikiri kuwa,Kati ya wachangiaji wote wa JF ,nafikiri wewe utakuwa na akili ndogo kuliko wote!!!?

Nafikiri ujazo wa akili yako haujai ujazo wa KISODA!

lete hoja, acha viroja
 

Eti mbadala wa Chadema kwa hiyo nyie lengo kuu ni kuwa mbada wa chama cha upinzani badala ya kinacho ongoza nchi idiot! Mmeshindwa kabla ya kuanza mbulula nyie
 
Mkuu,

Nimekuwa nikisoma mada nyingi sana katika ukumbi huu ambazo umezianzisha!

Naomba nikiri kuwa,Kati ya wachangiaji wote wa JF ,nafikiri wewe utakuwa na akili ndogo kuliko wote!!!?

Nafikiri ujazo wa akili yako haujai ujazo wa KISODA!

Kuna haja ya kutuma vyeti vya kuzaliwa ili kujisajiri kwenye jukwaa hili maana usikute tunabishana na watoto watoro wa shule wanaoshinda kwenye internet cafeeee wanacheza game mtandaoni. Cookie Ondoa uzi huu hauna mashiko
 
Last edited by a moderator:
Ww utakuwa kichaa tu au mrevi wa gongo siamini kama kichwani zimo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
...ngoma ya chadema mnauweza?...ndio maana mnatumika na ccm....tuweke macho.
 
Eti mbadala wa Chadema kwa hiyo nyie lengo kuu ni kuwa mbada wa chama cha upinzani badala ya kinacho ongoza nchi idiot! Mmeshindwa kabla ya kuanza mbulula nyie

Hawa Uvccm shida kweli, wao hoja ni CDM na si chama kinachoongoza, ndio maana mi nakubaliana na kauli ya kuwa CDM inaongoza nchi maccm yanatawala mfn. katiba mpya haikuwa agenda yao, maoni ya rasimu 75% ni mapendekezo ya CDM

Cc; abakorakamo
 
Last edited by a moderator:
Hay Yangu macho

Mwenyekiti wa ACT is too local, mkabila sana na mengineyo maana mtu anayezungumzia udini au ukabila ni mkabila na mdini zaidi ya mkabila na mdini mwenyewe. Katibu wake yule kwenye alizeti amesapoti ushoga redioni namsikia mwenyewe so ni chama cha waliberari.....
 

Nini msimamo wa chama chenu kuhusu Ushoga?
 
Itakuwa CCJ hiyo. Mchezo wake uliisha kabla haujaanza.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kuna maneno mengi sana humu jukwaan ni kama vile sote tu wajinga hivi...

Kwasasa chama chochote kinacho asisiwa ni kwa ajili ya kukitoa ccm mamlakani...

Wengi wanasema ACT ni mbadala wa CDM na hapa ndo naamin cdm ni watawala wa sasa...

Tizama sera zao zote ndo zinatumika kusukuma nchi japo wamevaa viatu vikubwa sana hawa ccm...
Nasema viatu hivo wangepewa cdm leo tusingekuwa tunalia hivi


Rai yangu....
Anzisheni vyama kwa malengo ya kupambana na walio madarakani nasi upinzani kama zitto.

Mods; naomba msifute wala kuunganisha na mwingine.
 
Mnajitangaza mtandaoni...... kenge niny....

----y you..... tooo
 
ACT, maana yake act,hivyo ni maporomoko ya Rufiji,hayawezi panda mrima wa siasa legelege za kibongo,kila mtu anatoa Matamko,Mara nina majina ya Majangiri 320,mara i have a least of poacher,in my country,----en ,----en,----en.
 

Viongozi wake ni kina nanii kwa sababu hata mpiga debe wa ACT umejificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…