ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

wewe jamaa siwezi kujadili hoja na wewe inaonekana ni mbishi usiyetaka kujenga hoja ila kukimbia hoja mwanzo ulisema mwenye chama hajulikani sasa hivi unadai mwenye chama anajulikana, wht damn shit is this ......

Tatizo lako unajenga hoja kiushabiki hutaki kuongea uhalisia unashindwa kuelewa tetesi na uhalisia.....hicho chama cha ACT ilikuwa ni tetesi kuanzishwa kwake haikujulikana km kweli kipo ama ni tetesi tu, na kila mmoja akijaribu kusema la kwake na juu ya mmiliki wake kama wewe ulivyosema ni cha MDINI na UKIGOMA..Kwa Wakati huo waanzilishi wake hawakujionesha wazi kwa umma km walivyo fanya hivi karibuni.Sasa huyo mdini na mkigoma ndio nani tuambie hutaki unaruka ruka tu...Kuwa Muwazi sema kwa ujasiri huyo mdini na mkigoma ni fulani na ndio chama chake tuelewe.
 
hivi hili shirika la dini toka kigoma lenye bendera yenye nyota ya al shabab linataka kuungwa mkono na watanzania. poor ACT
 
njaa zitawamaliza,mwenzenu kachota ma million I ccm kuidhoofisha upinzani nyie mmepewa vijisenti via bundle mnaleta kelele humu,alafu Lila means Act akileta Uzi lazima aitaje chadema...poleni sana tushawajua lengo lenu no kuisambaratisha upinzani,kwa bahati mbaya wengi we nu hamjitambui au njaa zimewatawala.
 
zitto ni mjanja sana, ana wachukuwa mazuzu ili atimize malengo yake mwisho wa siku anawaacha kama tambala bovu...mleta thread nae ni mtumwa.
tatizo tiz wachumia tumbo ni wengi na hii ni kutokana na kukosekana kwa ajira na kijana wengi kukimbia shule, hii hupeleke vijana wengi kutumika kirahisi kama mleta thread.
 
Nijibu kwanza wewe kilaza kwanza umekubari chama hakiwezi kuanzishwa bila mwaanzishi kujulikana
 
Nijibu kwanza wewe kilaza kwanza umekubari chama hakiwezi kuanzishwa bila mwaanzishi kujulikana

Asante kwa kwa kuniita Kilaza.........Kila kitu kinachoanzishwa Lazma kiwe na Mwanzilishi.. But huwezi sema kitu fulani mwanzilishi wake ni fulani bila kuwa na uhakika wa uwepo wa hicho kitu ndio maana nikakwambia hicho chama cha ACT ulichosema ni cha MDINI na UKIGOMA hata mwanzilishi wake hajulikani sijasema hakina mwanzilishi.Hata uhalifu ukifanyika huwezi sema fulani amefanya bila kufanya uchunguzi ndio maana husrmwa watuhumiwa hawajulikani....Sasa wewe usiyekuwa KILAZA useme hizo habari wewe ulizipata wapi ya mwanzilishi wa ACT ni MDINI na MKIGOMA.Ujifunze kuelewa hoja kwanza kabla hujaleta ushabiki.
 

Kuchanganyikiwa ni kubaya sana, ina maana kila msaliti anayefukuzwa uanchama wa chama chake cha awali basi anaunda chake, sasa kama Zitto amekisaliti chama kilichomfanya awe maarufu ndiyo atawapenda watu wasio na mchango wowote kwke? au Mchange awe kiongozi kweli? wakati wazazi wake wanalala nje, basi makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…