Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Hii nchi siku zote haikosi watu wa ajabu ajabu sana. Sanaa za ACT ni kutaka teka fikra za watu na kuwapotezea muda ili agenda muhimu za kuwajibisha CCM zisifanikiwe kama kawaia yao. Nani ahkumbuki issue ya Escrow ilivyochukuiwa na Zitto nini kilitokea? Matokeo yake kukawa na fununu za account za benk nyingine ambazo zilifichwa.Matokeo yake bank fulani ya kanisa fulani ambalo linaambiwa linaongoza mfumo Kristu,ikaharamishwa kwa mdomo wa Zitto, Zitto alilia ifungwe na ipewe jina Baya .Ushajaa aliokuwa anautaka Zitto katika ile kambi inayopenda hizo siasa ulizimishwa ghafla baada ya Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani kusimama na kuwaachia CCM maigizo yao. Mungu amlinde Mbowe.Siku ile Taifa lingepasuka.It was a space of a split of a second. Watu wanauliza hiyo tume ilijengwa vipi?
Nani hajui kwamba mzunguko wa kumtoa rais kwa katiba hii,wanasheria hawa, bunge hili, majeshi haya, wasomi hawa,waandishi hawa.Kupitia njia ya bunge kupoteza muda tuu?Zitto anajua hilo ila anataka tuletea mambo ya mabilioni ya Uswizi.
Kwanini Zitto asituambie kuhusu mabillioni ya Uswizi kuliko kutuharibia mwendo kasi wa kuianika ccm kwa wananchi?
NISEME TUU KWANINI ZITTO ASIAMBIE TUU SASA AKUE KIDOGO.AACHE CHUKUA VIDILI VYA KITOTO IRRESPONSIBLY.Acche kufanya siasa za wanasesere.
Zitto anataka mtoa nani akatika mada tunazoziiona na kuzisikia?Anataka watoa watu awapaleke wapi na kuwaacha kama alivyofanya kwa mabilioni ya USWIZI?