Wewe kama ni mwananchama wa ACT basi inawezekana unaishia tu getini na hujui muanzilishi wa hicho chama.Mwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye shimo la moto la utawala wa mwendazake lakini kwa hii hatua ni tuliyoifikia ni kubwa katika safari ya kutafuta demokrasia ya ukweli hapa Tanzania Tumefaniwa kukubaliana kuingiza vipengele vinne ikiwa ni pamoja na suala la tume huru ya uchaguzi hongereni viongozi wote mliofanikisha haya majaliano daima historia itawakumbuka.
HamujifichiWewe kama ni mwananchama wa ACT basi inawezekana unaishia tu getini na hujui muanzilishi wa hicho chama.
Wazazi wako walio kuzaa wakiwa kwenye mkesha wa mbio za mwengeHamujifichiView attachment 2048919
Acha povu manka[emoji23][emoji1787]Wazazi wako walio kuzaa wakiwa kwenye mkesha wa mbio za mwenge
Naunga mkono hoja, akina sisi waona mbali, hii ACT Wazalendo tuliibaini kitamboACT kwa hii hatua tuliyoifikia ni kubwa katika safari ya kutafuta demokrasia ya ukweli hapa Tanzania Tumefanikiwa kukubaliana kuingiza vipengele vinne ikiwa ni pamoja na suala la tume huru ya uchaguzi hongereni viongozi wote mliofanikisha haya majaliano daima historia itawakumbuka.
StupidAcha povu manka[emoji23][emoji1787]
CUF asilia ya hayati Sharif wanajuta kujiunga na vibaraka,wanampango wa kuwaacha kwenye mataa uchaguzi ujaoMwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye shimo la moto la utawala wa mwendazake lakini kwa hii hatua ni tuliyoifikia ni kubwa katika safari ya kutafuta demokrasia ya ukweli hapa Tanzania Tumefaniwa kukubaliana kuingiza vipengele vinne ikiwa ni pamoja na suala la tume huru ya uchaguzi hongereni viongozi wote mliofanikisha haya majaliano daima historia itawakumbuka.
Mimi nadhani chama kilichopitia shimo la Moto ni CHADEMA pekee yake. ACT ipo kwasababu Maalim alijiunga nayo ila angehamia CHADEMA Leo tungeongea mengine kuhusu ACT.Mwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye shimo la moto la utawala wa mwendazake lakini kwa hii hatua ni tuliyoifikia ni kubwa katika safari ya kutafuta demokrasia ya ukweli hapa Tanzania Tumefaniwa kukubaliana kuingiza vipengele vinne ikiwa ni pamoja na suala la tume huru ya uchaguzi hongereni viongozi wote mliofanikisha haya majaliano daima historia itawakumbuka.
Hiyo ndiyo sifa kuu ya ACT wanayojivunia kwa sasa.mafanikio makubwa ya ACT ni kukubali kutumika na ccm kama dekio.
Wacha mbwembwe PascallyNaunga mkono hoja, akina sisi waona mbali, hii ACT Wazalendo tuliibaini kitambo
PKiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Wanabodi, Tangu kuasisiwa kwa ACT, leo ndio mara yangu ya kwanza, mimi Paskali kuzungumzia lolote kuhusu ACT, kwa sababu, mimi ni muumini wa "Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu". Naamini ushirikiano wa dhati wa upinzani na muungano wa wapinzani kuwa kitu kimoja na kusimamisha mgombea mmoja...www.jamiiforums.com
Baba na mwana hao usiku wanazunguka kwenda kuchungulia ATM kama inasomaCCM wanapoiponheza ACT kwa kumwombea Mbowe huruma ya Rais...chukua jembe ukalime...ni ndugu hao.
ACT ni vijakazi wa ccm tu na hakuna upinzani paleACT inajipendekeza CCM ili wawape haueni ya uchaguzi unaokuja
With this,these clowns are really clowns!
Kama wewe ni afisa habari wa ACT, basi hicho chama ni janga Kwa Taifa. ACT ijitathmini. Lile lisufian Juma (bwabwa) mmelioekaga wapi?Mwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye shimo la moto la utawala wa mwendazake lakini kwa hii hatua ni tuliyoifikia ni kubwa katika safari ya kutafuta demokrasia ya ukweli hapa Tanzania Tumefaniwa kukubaliana kuingiza vipengele vinne ikiwa ni pamoja na suala la tume huru ya uchaguzi hongereni viongozi wote mliofanikisha haya majaliano daima historia itawakumbuka.
2025 tusimame na ACT wazalendo kama sio kuiondoa CCM basi tuikate mapembeMwanzo wa jambo lolote huwa mgumu ndiyo maana waswahili husema Roma haikujengwa siku moja haijalishi tumetukanwa sana lakini Leo Tumefaniwa kuwasemea watanzaia walio wengi ACT tumepitia kwenye shimo la moto la utawala wa mwendazake lakini kwa hii hatua ni tuliyoifikia ni kubwa katika safari ya kutafuta demokrasia ya ukweli hapa Tanzania Tumefaniwa kukubaliana kuingiza vipengele vinne ikiwa ni pamoja na suala la tume huru ya uchaguzi hongereni viongozi wote mliofanikisha haya majaliano daima historia itawakumbuka.