ACT kujiunga UKAWA

Maisha,Ukawa hawawezi kuungana na ACT wanajishumbua tu,intelejisia ilishakamilika zitto na chama chake ni ccm B
Bahati mbaya afya ya zitto inaendelea kudorora baada ya kuona mpango unazama
Asipoangalia huyu kijana ataishi maisha mafupi sana sababu ya mawazo.

Hayo maneno unauhakika nayo? pengine mtu anaweza kuikubari sheria inayo pingwa na wana mitandao kwa mambo kama haya
 
Kuna taarifa za chinichini kwamba ATC wanakusudia kujiunga na UKAWA ili kuongeza nguvu ya upinzani dhidi ya CCM. Hii ni kwa sababu ACT wanaamini katika umoja na mshikamano na wanatambua kwamba UMOJA NI NGUVU. Nakumbuka siku Zitto alipozindua ACT alisema chama hiki hakina uadui na chama chochote. Nadhani alikuwa anajenga mazingira ya kutaka kuungana na UKAWA baadaye ili kuongeza nguvu katika safari ya kuelekea Magogoni.

MAONI YANGU
Kwa kuwa viongozi wa ACT wana chembechembe za usaliti, nawashauri UKAWA wasiwakubalie ACT kujiunga nao. Nina hofu huenda ACT wanatumiwa na CCM kutaka kuwavuruga UKAWA. Kuweni na hao wasaliti.

:israel:

Nikiwaangalia viongozi wote wakuu wa ACT [hasa Mkumbo, ZZK, Mwigamba..et al] NAPATA HASIRA saana! Sitamani hata kusikia wakiongelewa ktk hadhara!, Wala isitokee wakae ktk picha ya pamoja na WanaMapinduzi wa UKAWA, itakuwa 'kula matapishi', sembuse kuungana nao! Tusisahau maumivu kwa haraka hivyo...! HAO NI WALAFI, WASALITI na WAPENDA 'MAJINA MAKUBWA' na SIFA, badala ya kuunganisha nguvu, wanataka wao wakae mbele!!
 
Hoja ya kuwapelekea watoto wa darasa la kwanza,usaliti wa zzk ni upi mbona mnaropoka,au shule zenu ndio za kununua paper,eti act ni wasiliti,MNAKERA WAPUUZI WAKUBWA

mbona povu linakutoka hivyo? tulia sindano ziingie vizuri.
 
Zitto afanye kazi na Mrema!! wana fikra na mitazamo inayoendana. (ACT = TLP)
 
Bado mtateseka sana subiri ACT wazalendo walizindue azimio la Arusha ili watangaze uzalendo. Hivyo vyama ambavyo viongozi wenu wanafanya business na chama hatuvitaki ni vya kifisadi na act inapinga ufisadi kwa vitendo.

mbona povu linakutoka hivyo?
 
Kuna taarifa za chinichini kwamba ATC wanakusudia kujiunga na UKAWA ili kuongeza nguvu ya upinzani dhidi ya CCM. Hii ni kwa sababu ACT wanaamini katika umoja na mshikamano na wanatambua kwamba UMOJA NI NGUVU. Nakumbuka siku Zitto alipozindua ACT alisema chama hiki hakina uadui na chama chochote. Nadhani alikuwa anajenga mazingira ya kutaka kuungana na UKAWA baadaye ili kuongeza nguvu katika safari ya kuelekea Magogoni.

MAONI YANGU
Kwa kuwa viongozi wa ACT wana chembechembe za usaliti, nawashauri UKAWA wasiwakubalie ACT kujiunga nao. Nina hofu huenda ACT wanatumiwa na CCM kutaka kuwavuruga UKAWA. Kuweni na hao wasaliti.

:israel:

Uko sawa kwa hili huenda ni mbinu ya Kuimaliza UKAWA ukizingatia chama cha ACT kinaundwa na WASALITI WOTE.
 
Mnaotabili tabili uongo kwenye jukwaa hili muache,ACT ni ya watanzania wote,ni ya wazalendo.Haina ukanda wala udini.....!ilihali CHADEMA wenyeviti tangu ianze wote ni wa kilimanjaro kaskazini na ukileta ubishi wanakuharibu na utajutia kujiunga nao

mbona unajenga hoja nje ya mada? tuliza munkari sindano ziingie.
 
Mtoa mada inaonekana bado unampenda sana zitto,huyo kshatoka hata uandke vp. Act haipo kama akili yako inavyowaza dogo.

bado hujanielewa...hebu rudia tena kusoma andiko langu.
 
Kuna taarifa za chinichini kwamba ATC wanakusudia kujiunga na UKAWA ili kuongeza nguvu ya upinzani dhidi ya CCM. Hii ni kwa sababu ACT wanaamini katika umoja na mshikamano na wanatambua kwamba UMOJA NI NGUVU. Nakumbuka siku Zitto alipozindua ACT alisema chama hiki hakina uadui na chama chochote. Nadhani alikuwa anajenga mazingira ya kutaka kuungana na UKAWA baadaye ili kuongeza nguvu katika safari ya kuelekea Magogoni.

MAONI YANGU
Kwa kuwa viongozi wa ACT wana chembechembe za usaliti, nawashauri UKAWA wasiwakubalie ACT kujiunga nao. Nina hofu huenda ACT wanatumiwa na CCM kutaka kuwavuruga UKAWA. Kuweni na hao wasaliti.

:israel:

Nakupa 10/10; uko sahihi kabisa asilimia 100; zitto, mwigamba na mkumbo na wasaliti wengine wote kufanya nao kazi ni kula matapishi; hususani CDM ambaye ndiye mshirika mkubwa katika UKAWA. Alliance for Cowards and traitors wawe wakweli kwa dhamira zao; wafanye kazi na CCM na kale kachama ka mbunge msaliti mwenzao wa Wawi.
 
Zitto hafai kuwa kiongozi ni msaliti mkubwa!!!

Kwa mara ya kwanza hebu mtueleze Zitto aitwapo Msaliti huwa mnamaanisha nini hasa? Kweli huwa sielewi kabisa, wakati mwingine najijazia majibu mwenyewe kwamba Pale anapotangaza Maovu ya CDM ndiyo huitwa Msaliti. Kama ndiyo ilivyo basi hakuna haja ya kuwa Upinzani nchini ikiwa mambo yao yote yanafanana, kufuga waovu. Ndivyo mnavyotafsirika, si kosa langu.
 
Umeshaweka msingi imara wa nondo na kokoto umepandisha ukuta wako Kwa matofali madhubuti ya umeme, ili nyumba yako iwe imara then ghafla mtu anakuja kukushauri eti uweke rinta ya fito na matope!! inakuja akilini hiyo!!
 
Ukawa Kikundi kitakatifu, ukawa sio pango la wasaliti, Zitto aogopwe kama ukoma
 
Kwa mara ya kwanza hebu mtueleze Zitto aitwapo Msaliti huwa mnamaanisha nini hasa? Kweli huwa sielewi kabisa, wakati mwingine najijazia majibu mwenyewe kwamba Pale anapotangaza Maovu ya CDM ndiyo huitwa Msaliti. Kama ndiyo ilivyo basi hakuna haja ya kuwa Upinzani nchini ikiwa mambo yao yote yanafanana, kufuga waovu. Ndivyo mnavyotafsirika, si kosa langu.

Swali lako peleka Lumumba kwa wafadhili wa act
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom