Ile nyota kwenye katiba inamaanisha nini washabiki wenzangu wa ACT?
Moja ya vyama rafiki ya chama chetu cha act ni ccm sio chadema naomba ieleweke hivyo
Zile 700,000,000/= Kiongozi Mkuu alizo omba bado hazijatolewa?Nashangaa mnaoshangaa na kuhoji mapato na mali za hiki chama , jambo la michango limo kwenye katiba yao kipengele cha tatu ibara ya sita , Michango kutoka vyama rafiki vya ndani na nje ya nchi.
Nashangaa mnaoshangaa na kuhoji mapato na mali za hiki chama , jambo la michango limo kwenye katiba yao kipengele cha tatu ibara ya sita , Michango kutoka vyama rafiki vya ndani na nje ya nchi.
Chama rafiki cha ndani........
Nashangaa mnaoshangaa na kuhoji mapato na mali za hiki chama , jambo la michango limo kwenye katiba yao kipengele cha tatu ibara ya sita , Michango kutoka vyama rafiki vya ndani na nje ya nchi.
chadema nirafiki wa cuf cuf ambayo inapewa pesa na ccm.
hahaa.....hiki chama ni kikundi cha kigaidi aisee....wala hakina values za kisiasa,kimaadili au hata kistaarabu.Nashangaa mnaoshangaa na kuhoji mapato na mali za hiki chama , jambo la michango limo kwenye katiba yao kipengele cha tatu ibara ya sita , Michango kutoka vyama rafiki vya ndani na nje ya nchi.
Kilijua kitapata rafiki kwa kuwa taasisi ipo kama binadamu haikosi marafiki, chama kilitaraji kupata marafiki wengi
chadema nirafiki wa cuf cuf ambayo inapewa pesa na ccm.