ACT - Chama cha pili kusimamisha wagombea ubunge wengi !

jebibay

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2012
Posts
1,431
Reaction score
642
Mnatamba kabisa, eti sisi ndio chama cha pili kusimamisha wabunge wengi !

Na mavuno je ! Karibia kila jimbo resuts ni digits tatu (less than a 1000).....

Jifunzeni kwa wenzenu, sio mnakurupuka tu halafu mtegemee kupata matokeo kwa mtindo wa DECI. Angalia CDM kwa mfano iliwachukua miaka 10 kuamua kugombea urais kwa mara ya kwanza mwaka 2005 !. Nyie mnataka mafanikio ya chap chap.....wapi na wapi !
 
Mnatamba kabisa, eti sisi dio chama cha pili kusimamisha wabunge wengi....

Na mavuno je ! Karibia kila jimbo resuts ni digits tatu (less than a 1000).....

Jifunzeni kwa wenzenu msifikirie mtakurupuka tu halafu mpate matokeo kwa mtindo wa DECI. Angalia CDM kwa mfano iliwacbukua miaka 10 kuamua kugombea urais !. Nyie mnataka mafanikio ya chap chap.....wapi na wapi !

Japo mimi siyo mtu wa ACT lakini ngoja hili lipite uone kasi ya hicho chama,yale yale ya jamaa alokuja hapa jf na kusema Zito akirudi bungeni atavua nguo atembee uchi.na kweli Zito kapasua,atavua?tafakari coz huwezi kuijua kesho ndugu,hcho chama wala siyo cha kubeza
 
Kusimamisha wagombea nchi nzima hakuna maana ya kushinda tu ubunge inasaidia hata kuenea kwa chama.Rem. it is only 1 year old.
 
Kesho utamsikia chama changu kimetajwa sana na Mwenyekiti wa Tume
 
Zitto kwa umaarufu wake, kushinda ubunge kwenye maeneo ambayo ni ngome yake ni jambo la kawaida sana.

Mimi nilisema kwamba hawatashinda zaidi ya majimbo mawili kwani nilitegemea na Machali naye angeshinda..

Japo mimi siyo mtu wa ACT lakini ngoja hili lipite uone kasi ya hicho chama,yale yale ya jamaa alokuja hapa jf na kusema Zito akirudi bungeni atavua nguo atembee uchi.na kweli Zito kapasua,atavua?tafakari coz huwezi kuijua kesho ndugu,hcho chama wala siyo cha kubeza
 
Zitto kwa umaarufu wake, kushinda ubunge kwenye maeneo ambayo ni ngome yake ni jambo la kawaida sana.

Mimi nilisema kwamba hawatashinda zaidi ya majimbo mawili kwani nilitegemea na Machali naye angeshinda..
Anavuna matunda ya usaliti wake.
 
Wangesimamisha wagombea wachache (less than 10 kwa maoni yangu) kwenye maeneo ambayo wana nguvu zaidi halafu wakati huo huo wangemuunga mkono mgombea wa UKAWA hata kama wao si member wa UKAWA ninaamini ingekuwa na faida kubwa kwao kuliko hivi walivyofanya....

Kusimamisha wagombea nchi nzima hakuna maana ya kushinda tu ubunge inasaidia hata kuenea kwa chama.Rem. it is only 1 year old.
 
Umeme nena mkuu hawa act hawana nia thabiti ya kuwatumikia wananchi bali wapo kuikomoa chadema tuu
 
Chama kiliundwa may... Na October kinaongoza halmashauri... Je vyama vingine vilitumia miaka ngapi hadi kumiliki halmashauri
 
Wangesimamisha wagombea wachache (less than 10 kwa maoni yangu) kwenye maeneo ambayo wana nguvu zaidi halafu wakati huo huo wangemuunga mkono mgombea wa UKAWA hata kama wao si member wa UKAWA ninaamini ingekuwa na faida kubwa kwao kuliko hivi walivyofanya....
That's a Fact mkuu!
 
Kamtesa mama wa watu kamzungurusha nchi nzima akiambulia kura sijui kama zitafika elfu 7 in total.

Kamkosesha ubunge wa Singida mjini.
 
Mnatamba kabisa, eti sisi ndio chama cha pili kusimamisha wabunge wengi !

Na mavuno je ! Karibia kila jimbo resuts ni digits tatu (less than a 1000).....

Jifunzeni kwa wenzenu, sio mnakurupuka tu halafu mtegemee kupata matokeo kwa mtindo wa DECI. Angalia CDM kwa mfano iliwachukua miaka 10 kuamua kugombea urais kwa mara ya kwanza mwaka 2005 !. Nyie mnataka mafanikio ya chap chap.....wapi na wapi !

Kura za A.C.T ngazi ya Urais, Ubunge na Udiwani, hazitafika 130,000
 
Zitto kwa umaarufu wake, kushinda ubunge kwenye maeneo ambayo ni ngome yake ni jambo la kawaida sana.

Mimi nilisema kwamba hawatashinda zaidi ya majimbo mawili kwani nilitegemea na Machali naye angeshinda..

Masikini mtani wangu Machali, amechezea shilingi chooni kutokana na kuwa na ushabiki upofu kwa ACT na Zitto. Tuonane mwaka 2020, Inshallah.
 
Wangesimamisha majimbo 10 tu na kuwekeza nguvu zao zote.
 
Acheni kubeza act, ni chama kichanga hata hivyo kimeshinda vyama vingine vyenye miaka kwa idadi ya kura, kwa Hiyo chama kimejitangaza hata kama kimepata jimbo moja, na kujiunga na ukawa hakumaanishi kuviinua vyama vyote mpaka sasa nccr na nld vimekufa havina nguvu hata ile ndogo ya awali waliokua nayo zaidi walichofanya ni kukiinua chadema
 
Wangesimamisha wagombea wachache (less than 10 kwa maoni yangu) kwenye maeneo ambayo wana nguvu zaidi halafu wakati huo huo wangemuunga mkono mgombea wa UKAWA hata kama wao si member wa UKAWA ninaamini ingekuwa na faida kubwa kwao kuliko hivi walivyofanya....

We' ni pumba kabisa wamuunge mkono mgombea wa UKAWA ili iweje? Wakati wanaomba kujiunga na UKAWA walijibiwa hatuwezi kujiunga na wasaliti kama sio ubinafsi wa chagadema, ACT ingekuwa ni katika muungano wa UKAWA.
 
Chama kiliundwa may... Na October kinaongoza halmashauri... Je vyama vingine vilitumia miaka ngapi hadi kumiliki halmashauri

Nani amekudanganya chama kimeundwa May?Chama kina miaka kadhaa kiko ndani ya chama.
 
We' ni pumba kabisa wamuunge mkono mgombea wa UKAWA ili iweje? Wakati wanaomba kujiunga na UKAWA walijibiwa hatuwezi kujiunga na wasaliti kama sio ubinafsi wa chagadema, ACT ingekuwa ni katika muungano wa UKAWA.

Then ingesaidia nini?sababu hizo 0.03% zao hata nchi nzima hazitafika 2%.
 
Wakati chagadema wanajuta bora wangejiunga na ACT, ingewafanya wapate kura nyingi zaidi, wewe hayawani unaandika ingesaidia nini? Hujui siasa bwa'mdogo kaa pembeni!
 
Back
Top Bottom