Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 996
- 1,913
Wakuu Asalaam Alaykum,
Naomba kufahamishwa Accredited centers za CISA kwa Tanzania na gharama zao. Ukiachana na hii ya online inayotolewa moja kwa moja na ISACA.
Au ushauri kwa mwenye uelewa zaidi njia ambayo ni rahisi kwa upande wa gharama kuweza kuifikia hii Certification.