PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,120
- 840
Habari zenu wana jamvi wa JF:Leo nimesikia jina jipya katika ulimwengu wa siasa za Tanzania akitokea chama pinzani hapa nchini cha chadema akiitwa Acran Peter John .kulingana na maelezo niliyopewa kuhusu Acran Peter John mzaliwa wa Kigoma kaskazini jimboni mwa Zuberi Zitto Kabwe kabla hajavuliwa uanachama.
kwa kweli nilivutiwa kujua historia yake kuhusu this political genious because i heard a lot about him.Huyu kumbe ni mhadhiri katika chuo kikubwa hapa Nchini SAUT-MWANZA,pia aliwahi kufundisha SAUT-TABORA,na SAUT-MBEYA.Binafsi nimevutiwa baada ya kupata taarifa zake za kina kutoka kwa wanachuo wa SAUT-MWANZA,SAUT-MBEYA, na SAUT-TABORA.Na kwa taarifa Mhadhiri Acran Peter John tayari ameomba ridhaa kupitia chama chake cha CHADEMA ili aweze kusimama nafasi ya Ubunge kupitia jimbo la Kigoma kaskazini huku kukiwa na tetesi kuwa mbunge wa kigoma mjini Peter Serukamba CCM atasimama pia kupitia jimbo hilo akimpisha Zuberi Kabwe Zitto atakayesimama nafasi ya ubunge jimbo la kigoma mjini kupitia chama cha ACT-WAZALENDO.
Acran Peter John kwa sasa anasubiri ridhaa ya chama chake ili kujitokeza rasmi kwa wananchi wa Kigoma kaskazini kutangaza rasmi nia ya ubunge katika jimbo hilo.Ni wakati vijana kujitokeza ili kuleta mabadiliko ya kisiasa ndani ya Nchi yetu ,kuendeleza harakati za kukuza uchumi kwani wakati ni sasa.
Nawapa igwee! vijana wote waliochukuwa fomu na waliotangaza nia kugombania nafasi mbalimbali za uongozi.Nipende kuwasilisha nafikili kuna watu wanamfaham Mhadhri Acran Peter John wanaweza kutoa mawazo yao jinsi wanavyomfaham Mhadhiri kutoka Chuo cha Mtakatifu Augustino kwa manufaa ya watu wa kigoma kaskazini na Taifa kiujumla