mkuu umeangalia hiyo picture vizuri? Au hauna macho nn mkuu? Wengi hawana hata muhudumu mmoja wa kuwaangalia tena wamelala chini
huyo mwingine full ma ac wauguzi kaa mia
kwenye hizi nyuzi za kuhusu dr ulimboka, kwa siku nzima ya leo sijawaona members mashuhuri wafuatao:
Topical
rejao,
annael, na
ritz. Sijui nini kimewasibu, namuona zomba tu akijaribu kujitutumua. Sijui wamekumbwa na nini.
Sawa tu acha apumzike apo aone na wengine wanajiskiaje.Alah? wao tu walipwe ela nyingi.kwani tunaolipwa laki 5 hatufanyi kazi?Chadema itetee haki kwa wote.kuna waalimu 210,000.( hapa walimu sijui wameingiaje?)
Wafanyakazi wa serekali kibao, madokta, madkta. Kazi ni kazi.atuwezi fanya kazi moja wote ila lengo mwishoni wote tupate ela.wanatuulia ndugu zetu wanataka utajiri wa fasta.
Waende ata freemason basi.wachukue time........Tuache kuwa na akili mgando.Serekali ibanwe itumie ela vizuri,ila na sisi kila mmoja afanye kazi ila taifa liendelee.No lelemama.hela ya bure imetoka wapi? Mnaona wachina?
Piga kazi sana ila kidogo.baadae maendeleao.Watanzania tunajua sana kuongea na kuchangia.aliye na point nzuri kazini hewa. Low production.na serekali dhaifu atutaki. Tunataka madikteta, sha choka na lawama za kijinga!
Hamna kilichoandikwa hapo Mkuu! Endelea kusoma michango mingine.Kama kuna mkalimani tafadhali atupe tafsiri ya hiki kilichoandikwa hapa.
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu Dr. Stephen Ulimboka ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu Salim kituo chako cha kazi ni wapi?
Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa.
Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya.
WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake.
Kamwe ubaya haufichiki nawe Mokira Muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani?
Aluta continua
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .
Hivi kuna mdau humu mwenye picha ya huyu muuaji ACP Msangi? Naombeni mnisaidie nilifahamu hili liuaji. Yaani Tanzania ndio imefikia hivi? Hawa wapuuzi sijui wataondoka lini madarakani, ndugu zetu wapate kupumuaSamora Uliza mkaazi yoyote wa Arusha atakueleza kituo cha polisi Usa River kuanzia miaka ya 1990s - 2000s mziki wake ulikuwa mkubwa ndugu jamaa au rafiki akipelekwa huko akitoka mzima kama ni mwanaume alikuwa akiitwa mbuzi wa shughuli kutokana na aina ya mateso waliyokuwa wakiyapata. Kuna uwezekano mkubwa ACP Msangi alikuwa mkuu wa hii operation toa uhai Dr Ulimboka [OTU].
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu dr Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi? Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa. Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJ
.
Hapo juu kwenye red mkuu, inamaana Wassira naye ameshaukwaa uDr?.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
HAPPY SABATH BROTHER
ACP Msangi akiwa mkuu wa USA alisimamia zoezi la kuondoa uhai watuhumiwa wanne wa ujambazi waliokamatwa na polisi wakiwa hai ikamlazimisha RPC Ntobi kuhamishiwa mkoa wa Mara.
Alichofanyiwa Dr. Ulimboka ni unyama na udhalimu mkubwa na kamwe sikiungi mkono. Tatizo langu linabaki kutokubaliana na huu mgomo wa madaktari, na sasa umehamia kwa madaktari bingwa.
Madaktari tafadhali tafuteni njia nyingine ya kudai haki yenu, hii ya mgomo mnatuumiza sisi walalahoi.
Sasa mnatushawishi tumchangie Ulimboka akatibiwe India wakati kuna wagonjwa mahututi kibao mahospitalini, hao tunawasaidiaje?
KIBE unawahukumu madaktari kana kwamba wanachodai ni pesa peke yake. Je, unayajua madai yao yote?
Mojawapo ya madai yao ni kuwapo kwa vifaa tiba na madawa kwenye hospitali, pamoja na vitanda vya kutosha na nyenzo nyingine muhimu.
Hapo wanadai pesa kwa ajili yao? Kama umesahau, kuna daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Temeke alinukuliwa na vyombo vya habari kwamba alilazimika kumwacha mgonjwa kwenye chumba cha upasuaji na kutoka nje kukimbilia hadi kwenye duka la dawa ambalo kulikuwa na kifaa tiba kilichogharimu SHILINGI ELFU MOJA TU!
Alitumia pesa yake mwenyewe kuokoa maisha ya mgonjwa. Labda wewe hujawahi kuumwa hadi kulazwa na kufanyiwa upasuaji. Waheshimu sana madaktari. Hakuna kazi ngumu kama ya kumtibu binadam, MUUJIZA wa Mwenyezi Mungu.
KUJAFA HUJAUMBIKA KIBE!
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .