Unatafuta faraja, hizo propaganda zako zinafanana na zile za chama cha kijani. Watanzania wa leo wameelimika, wewe ndiyo wa kuwaambia, zilitengenezwa ama anahusika kama alivyotajwa na dk pale alipokwenda icu kumkejeli
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
Mods, hili ni jukwaa la great thimkers. Toa huu *****. Huyu jamaa anataka kutuletea speculations walizokuwa wanaongelea jana akina Ephrahim Kibonde na kutaka kutuaminisha kwamba eti ni SMS kama za Kanumba! Sijui wapuuzi wa dizaini hii wanaingiaje humu!
Mkuu hongera, hapo ndipo ninapoipenda JF. Great thinkers kabla hawajachangia wanaangalia vitu vingi ikiwa ni pamoja na "kajiunga lini?".
Hiyo husaidia sana kujua lengo la mleta mada ni nini?
karibu kamanda msangi nilikuwa nakusubiri sana hongera kwa kujileta.ivi kwa nini ulifanya vile?wakuuuuu ndie huyu jamaaaaaaaaaa kajiunga jana karibu sana
Kuna habari za kuaminika kumbe zile sms zilizokuwa zinasambazwa ya kuwa kamanda msangi (ZCO) ni mmoja wa watu waliohusika kumteka Dr.Ulimboka sio kweli ni kwamba hizo habari zimetengenezwa kama zile sms zilizotengenezwa wakati alipofariki Steven Kanumba ya kuwa eti Kanumba hakufa bali alikuwa anatengeneza filamu.
weeeeeeeeeeeeeeeee!!!! take care watu wamefunguka, hadanganyiki mmtu wala hasafishiki mtu , lazima huyu kamanda awajibike kwa vitendo vyake vya ukatili ,
Hivi kweli ni utu kumuacha mgonjwa afe ili udai vifaa vya kutibia mgonjwa huyohuyo anayekufa au hiki ni kiiini macho cha kudaia mafao.Haya sasa vitanda vimekua tupu huko hosp basi wakalale wao maana walikua wanavidai
Tough stuff..I guess your reasoning capacity ndio imeishia hapo! It will be very difficult for you to comprehend what is happening vis migomo na kupigwa kwa Dr Uli.
Maafisa na maboss wao wako so bitter kuona kwamba azma yao haikutimia mara moja. Ukipita pita kwenye circles zao utagundua ni kwa jinsi gani watu hiki kitu kinawapa maumivu kwa kushindwa kutekelezwa.