ACID USONI: Wivu wa sisi wanaume

ACID USONI: Wivu wa sisi wanaume

images
images


Huko India na Pakistan ndio balaaa. Yaani mke anapigwa mande na mama mkwe, mawifi, na mashemeji na mume mwenyewe.
 
Ooooooh my god, na hizi carolite tutabakia mifupa usoni maana nyama zooote zitayeyuka
 
Huyu dada alikuwa mwanafunzi University of British Columbia. Alitolewa macho na mume wake kwa sababu ya wivu.
 
Last edited by a moderator:
mh... sijui kwanini nimefungua:A S-frusty2:
 
Suits her quite well, hawa akina dada wa siku hizi hawafai kabisa!! Sijui wana tafuta nini!? Though an eye for an eye wud soon leave the whole world blind.....
 
Wanaume huwa wanaathirika vibaya wakitemwa na wivu wao hawafikiriii kabisa. The think what they want to.

hivi wivu wa kike ukoje? maana nasikia kila siku watu wansema una wivu wa kike.
 
Huu ni ukatili wa hali ya juu..
Hakuna ubinadamu kabisa aisee
Dah
 
Back
Top Bottom