Kijana mmoja mfanyabiashara wa aliminiamu wiliadi bewasi ameuwawa kwa kuchomwa kisu na mpenzi wake maeneo ya moshono.mpenzi wake anaitwa Rozi ndosi,picha ya marehemu hii hapa chini pamoja naya muuaji
Hivi mkuu, ukimtizama kwa makini huyo mwanamke , hugundui kitu kweli? Mbona anaonekana mbabe mbabe hivi? N a mshikaji anaonekana mpole kiasi.
Hivi mkuu, ukimtizama kwa makini huyo mwanamke , hugundui kitu kweli? Mbona anaonekana mbabe mbabe hivi? N a mshikaji anaonekana mpole kiasi.
I know this dude very well... Oh Lord
Kisa nn? RIP Bewasi
Jina la dada linaashiria kabila lilee la kichaga tunaloliogopa. Rozi Ndosi au Ndosa. Maisha yake na uzuri wake kunyongwa. Ila pia kijana anaonekana ni mdogo kwa Rozi so yawezekana ni Marioo anamlia mjane wa watu hela na dose anaenda kutoa kwa visichana vya saizi yake. Wanawake mnaohonga vijana wabichi funzo hilo.