Achia goli mwanamke kujiamini

Aya kwa hoja sikuwezi nakujua wewee!

Huyu mtu nami ka namjua hivi, mi namaanisha. Yaani KAMA 'NAMJUA' kweli.kuna Id fulani ilikuwaga bize, siku hizi iko dormant kidogo, ila kimchango na kimawazo ka wanafanana vile.
 
sema haki ya mungu!!!!
hizo ni fununu tu in young d's voice!!!
 
Huyu mtu nami ka namjua hivi, mi namaanisha. Yaani KAMA 'NAMJUA' kweli.kuna Id fulani ilikuwaga bize, siku hizi iko dormant kidogo, ila kimchango na kimawazo ka wanafanana vile.

Hahahahaaaaa!!
 
Yaani ndo unazidisha kufanana unapozidi ku-comment. Anyway, wanasema duniani wawili wawili.

jamani ukute ni pacha wangu baba alicheza faulo!! hebu niume sikio ni nani huyo nimfind
 
mmmh!!! mbona umeitikia kwa unyonge sana baba? plzz usiwe mnyonge bwana, i wont get a sleep u know!

Hakuna unyonge atoto full shangwe kesho nitafute plz"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…