Kuna imani ambayo wanawake wengi wanaiamini sana , ambayoa kwa sasa haina nafasi kabisa.
Unakuta umemtongoza mtu bidada atakama na yeye alikua anakupenda hawez kukuambia wala kukubali kwa wakati huo mpaka baada ya siku kadhaa, wiki au mwezi.
Imani yao ni kwamba wakikubali mapema wataoneka malaya, kumbe sio kweli kabisa kuonekana Malaya kunatoka na kua na mahusiano zaid na mtu mmoja na sio wakati wa kukubali.
Wengine wanafika mbali zaid ata namba ya simu kupata ni mtihani wakiamin kutoa namba ya cm ni nusu ya kukubali.
kutoa jibu LA kukubali au kukataa mapema hakumfanyi mtu kuonekana malaya .
Badala yake unaoneka unajiamin zaid!.
Utaonekana unajiamin zaid ikiwa unakubali Leo na kutoa ata ppcha cku iyoiyo. Ukipendwa na wewe ukapenda basi a
"Achia goli mwanamke kujiamini."