Acheni Wivu.

Baby Doll

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
4,880
Reaction score
22,052
Mara oooh umejiunga Jana unaandika kama mwenyeji
. kujichanganya ndiyo mpango mzima.
Eti hujakamilisha hata siku una comment nyingi itakuwa wewe mwenyeji
. Sasa nakuwaje mwenyeji na nimejiunga Jana?
Mara sijui like nyingi
ndiyo zangu kwani kuna mtu kaibiwa zake?
Hamjui hata kukaribisha wageni, mnamsimanga mgeni hadi Mtu ukiwa na roho nyepesi unaweza kuleft.
.
Sasa sileft tunabanana hapa hapa.
Haya usiku mwema
 
vipi ushawahiwa?
mimi natafuta mwenza aisee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…