Acheni ushabiki mtakuja kuuza nchi

Acheni ushabiki mtakuja kuuza nchi

Kevoo_keroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
771
Reaction score
163
✳SHIDA NI MZEE WA MAIGIZO NA SIO CHADEMA✳

Wafuasi wa chadema asilia toka 2010 Chadema ilipopata heshima ndani ya nchi kwa kujizolea umaarufu kuwa chama kikuu cha upinzani, wafuasi asili kutoka mikoa yote Tanzania bara wamejitokeza na kukihama chama hicho na wengine wanasema hawatahama chama Chao kwasababu wametoka nacho mbali ila watamuonyesha Mbowe uthamani wao kwa kutokipigia kura chama hicho kwasababu mgombea aliyesimamishwa na chama hicho hawamtaki kwakua ni fisadi na hana usafi wowote, hana nia ya kuwakomboa wananchi bali anania ya kujinufaisha ye ye na wanaomzunguuka mafisadi wenzie.

Wanachama hao wamesema wanaoishabikia chadema kwa sasa sio vijana wa wa Chadema wamiaka yote bali ni 4u movement waliokuja na mzee wao .

Wanasema "NI BORA WAMCHAGUE JEMBE MAGUFULI KULIKO MZEE WA GWAJIMA"wanasema wanachama hao watajipanga kwa uchaguzi wa 2025 na sio huu ambao chama Chao kimeonyesha kila dalili za kununuliwa na mtu mmoja na kundi lake.

Hapa swali lakujiuliza ndugu nikwanini huyu MZEE havai sare yetu ya Chama? hii nidharau kubwa sana na hakuna wakuuliza hii jeuri kaitoa wapi?

Tunawasiwasi chama chetu kimeuzwa japo hatuna uhakika ila dalili zinaonyesha kimeuzwa.

WANACHAMA HAO WANATOA RAI KWA MAKUNDI MENGINE KTK CHAMA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA NA KUKATAA KUBULUZWA NA MAFISADI.

WANAMPONGEZA DR MAGUFULI KWA AJENDA ZAKE ZA KUKOMESHA UFISADI NA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA.

HAPA NI KAZI TU.
 
Chagueni jembe lenu hilo Magufuli mjemlimwe, watanzania wapenda maendeleo tutamchagua Lowassa kwa maendeleo ya Tanzania.
 
Tatizo sio mtu. Tatizo ni ccm iliyoshindwa.
 
✳SHIDA NI MZEE WA MAIGIZO NA SIO CHADEMA✳

Wafuasi wa chadema asilia toka 2010 Chadema ilipopata heshima ndani ya nchi kwa kujizolea umaarufu kuwa chama kikuu cha upinzani, wafuasi asili kutoka mikoa yote Tanzania bara wamejitokeza na kukihama chama hicho na wengine wanasema hawatahama chama Chao kwasababu wametoka nacho mbali ila watamuonyesha Mbowe uthamani wao kwa kutokipigia kura chama hicho kwasababu mgombea aliyesimamishwa na chama hicho hawamtaki kwakua ni fisadi na hana usafi wowote, hana nia ya kuwakomboa wananchi bali anania ya kujinufaisha ye ye na wanaomzunguuka mafisadi wenzie.

Wanachama hao wamesema wanaoishabikia chadema kwa sasa sio vijana wa wa Chadema wamiaka yote bali ni 4u movement waliokuja na mzee wao .

Wanasema "NI BORA WAMCHAGUE JEMBE MAGUFULI KULIKO MZEE WA GWAJIMA"wanasema wanachama hao watajipanga kwa uchaguzi wa 2025 na sio huu ambao chama Chao kimeonyesha kila dalili za kununuliwa na mtu mmoja na kundi lake.

Hapa swali lakujiuliza ndugu nikwanini huyu MZEE havai sare yetu ya Chama? hii nidharau kubwa sana na hakuna wakuuliza hii jeuri kaitoa wapi?

Tunawasiwasi chama chetu kimeuzwa japo hatuna uhakika ila dalili zinaonyesha kimeuzwa.

WANACHAMA HAO WANATOA RAI KWA MAKUNDI MENGINE KTK CHAMA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA NA KUKATAA KUBULUZWA NA MAFISADI.

WANAMPONGEZA DR MAGUFULI KWA AJENDA ZAKE ZA KUKOMESHA UFISADI NA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA.

HAPA NI KAZI TU.

Majizi na majambazi yako CCM
 
Akili za vijana wa ccm zimepitwa na wakati!
 
Kama Ni kutishwa kuhusu kuuza nchi tulishatishwa Sana,na bado yupo, sasa niwaambie labda ccm mmejisahau hii nchi ilishauzwa simu nyingi Sana toka 1995 kupitia ubinafshaji...ndo maana wazungu wanajichimbia Tu madini kiholela..hapa tunataka kurejeshewa nchi,usitufanye wapumbavu..tuwache na ulofa wetu lowasa anatosha kwa miaka mitano ijayo
 
Unajua ninyi vibaraka wa CCM msitujeuze watanzania wote ni mapimbi....
Wewe kama una mahaba na Magufuli mwombe akupe ajira nyumbani kwake na sio kuja kuturembulia huku na maneno ya kuudhi...Waliouza nchi ni nani kama sio mwajiri wako? (Tusi kubwa)
 
ccm hawana sera wamebaki kutisha wananchi tu eti wakichagua upinzani nchi itakuwa kama libya....
 
Imebaki sehemu ndogo sana ccm hawajamaliza kuuza siyo vibaya tukauza na sisi kama ccm walivyo uza ccm wameacha mkoa mmoja tu wa Kilimanjaro na milima wake sisi tutawauzia wa afrika wenzetu Kenya kuna ubaya gani tuka uza kama ccm!?
 
haa haa mbavu sina.
 
✳SHIDA NI MZEE WA MAIGIZO NA SIO CHADEMA✳

Wafuasi wa chadema asilia toka 2010 Chadema ilipopata heshima ndani ya nchi kwa kujizolea umaarufu kuwa chama kikuu cha upinzani, wafuasi asili kutoka mikoa yote Tanzania bara wamejitokeza na kukihama chama hicho na wengine wanasema hawatahama chama Chao kwasababu wametoka nacho mbali ila watamuonyesha Mbowe uthamani wao kwa kutokipigia kura chama hicho kwasababu mgombea aliyesimamishwa na chama hicho hawamtaki kwakua ni fisadi na hana usafi wowote, hana nia ya kuwakomboa wananchi bali anania ya kujinufaisha ye ye na wanaomzunguuka mafisadi wenzie.

Wanachama hao wamesema wanaoishabikia chadema kwa sasa sio vijana wa wa Chadema wamiaka yote bali ni 4u movement waliokuja na mzee wao .

Wanasema "NI BORA WAMCHAGUE JEMBE MAGUFULI KULIKO MZEE WA GWAJIMA"wanasema wanachama hao watajipanga kwa uchaguzi wa 2025 na sio huu ambao chama Chao kimeonyesha kila dalili za kununuliwa na mtu mmoja na kundi lake.

Hapa swali lakujiuliza ndugu nikwanini huyu MZEE havai sare yetu ya Chama? hii nidharau kubwa sana na hakuna wakuuliza hii jeuri kaitoa wapi?

Tunawasiwasi chama chetu kimeuzwa japo hatuna uhakika ila dalili zinaonyesha kimeuzwa.

WANACHAMA HAO WANATOA RAI KWA MAKUNDI MENGINE KTK CHAMA KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA NA KUKATAA KUBULUZWA NA MAFISADI.

WANAMPONGEZA DR MAGUFULI KWA AJENDA ZAKE ZA KUKOMESHA UFISADI NA KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA.

HAPA NI KAZI TU.

Wanasema wanasema, wewe unasema nini?
Kwanini wasitume wenyewe au.wewe ndiwe msemaji wao?
Hao ni ccm kama wewe
Hatudanganyiki sisi ni mabadiliko kwanza.
Lowasa Lowasa Lowasa
 
Kama Ni kutishwa kuhusu kuuza nchi tulishatishwa Sana,na bado yupo, sasa niwaambie labda ccm mmejisahau hii nchi ilishauzwa simu nyingi Sana toka 1995 kupitia ubinafshaji...ndo maana wazungu wanajichimbia Tu madini kiholela..hapa tunataka kurejeshewa nchi,usitufanye wapumbavu..tuwache na ulofa wetu lowasa anatosha kwa miaka mitano ijayo
Kweli mkuu hadi mtandao kule loliondo unakukaribisha falme za kiarabu
 
Kama hilo litasaidia kuondoa utawala dhalimu wa ccm no problem wacha tuuze.
 
Ccm mtashindana lakini hamta shinda huu mziki wa mwaka huu ni mnene
 
Wewe labda ni mkimbizi toka Burundi , mtanzania halisi anajua nchi imesha uzwa tokea zamani wewe ndio unazinduka.
unajua sakata la loliondo, tembo wetu wamemalika ,twiga hai wanasafirishwa kama vifurushi ,yote hayo huyajui
 
Back
Top Bottom