KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Juzi nilikuwa jengo moja refu hapa arusha. Nilikuwa ghorofa ya nne nasubiri lift nishuke niende zang . Mara katoka rubega humo. Kuingia nakutana na harufu Kali ya ushuzi. Nafika g/floor wapo RAIA kibao wanaisubir lift wapande nayo. Jana naingia ATM Crdb pale mount meru hotel hali hiyohiyo. Tafadhali wahusika acheni izo.