Acheni Mazoea

Acheni Mazoea

Kama hamuelewi ni hivi mnaita watu mahali halafu mnamiachia bills na bado chumba pia jamani mmemuonaje???
Sasa yule dada akadai anaenda kulipa hizo bills ndio akaondoka sehemu la tukio.
Badae yule baba akamtukana kwa simu kwa maana jalipa bills .
sasa inakuwaje unamuita mtu halafu huna hata haya mnaandika message kabisa na masimu mnapiga njoo tule raha baadae mnaweka samahani mlipiwe hela za kila kitu mpaka za vocha???
tafuteni hela acheni tabia hizoo.
mtaliwa vibaya.
Kwangu niliwadhibiti huna hela niache kwetu.
 
Hivi nyie wakaka mlivyohamna haya hivi Sijui mkoje.
Rafiki yangu aliona simu inaiita kidogo nimtu tu wanafamiana naye akadai aje wale maisha kidogo tena mahali tulivu .
Wakakutana mahala wakapiga vitu kisawasawa sasa chakushangaza wamemaliza kunywa na kula yule baba aliletewa bili akasema tutalipa bado tupo haya wakaenda huko wakaenda kupumzika simu ikaita akataka kutoka yule dada akamwambia baki sijali mara alivyomaliza mazumgumzo simu eti anamwambia oh babe nimeambiwa nilipe hela kidogo sasa akaja na gia babe naomba nipige tafu kulipia hapa na bills zakule yule dada akavaa viatu akachukua pochi yule baba kasema unaenda wapi??
Yule dada akamjibu sinaenda babe kulipia chakula na vinywaji akaridhika.
sasa akapita reception akatoka akaenda zake alipofika home.
Likamtext sitaki mazoea nawewe tena futa namba yangu yule dada akafuta dah alimwona wa mkopo eh!!
atakuja kulelea watoto wake tu mzee ni wakutafuta dah.
ndio yule dada jinsi alivyokasirika akanipigia simu.
babe nikuambie freddy kanitoa out alitaka kunikopa Na mambo kibao acheni ulofa.
nikashangaa mtu anakukopa???
Mwanaume nakopa.
ACHENI HIZO TABIA TAFUTENI HELA ACHENI VYA BURE VYA UMIZA.
TAFUTENI HELA ACHENI UROHO
Tatizo hamtangazi wazi kama mnauza au la!
Mimi demu kuniuliza nina shilingi ngapi ndo mwisho wa mawasiliano naye, siwezi kununua mbunye hata siku moja.
 
Kiswahili kisichoeleweka...

inasikitisha.
 
Inaonekana umekopwa na kileo hakijakutoka kichwani
Soma ulichoandika kwanza
 
kama h ingekuwa barua ya kuomba kazi, bc mtoa mada nenda kajiajiri mwenyewe
 
Tatizo hamtangazi wazi kama mnauza au la!
Mimi demu kuniuliza nina shilingi ngapi ndo mwisho wa mawasiliano naye, siwezi kununua mbunye hata siku moja.
Mtu kalala kwao umemuita wewe halafu ukaja kumjazia bills hapo kama anauza au hauzi si kesi kesi ni wewe usiyejipanga ungemwacha demu wawatu na siku yake kuliko kumuwekea mtu majukumu na nuksi zisizotarajiwa ai hamkui jitu zima kazi mikopo bora hata hajamla eti kulikoni uliwe na madeni juu aibu zenu popote mlipo wanaume wahivi
 
Inaonekana umekopwa na kileo hakijakutoka kichwani
Soma ulichoandika kwanza
Kukopwa kupo nakazi bibie au babu eh sinaga mauzo na k yangu natafuta kwa jasho langu siwategemei nyie msitoshe na hali zenu tete za miaka aku .
nadhani hujui kuwa kuna wadada wanawatu permanent awe boyfriend hata wakumfuta jasho tumetulia tuLi .
nahata tukitafuta niwakudumu sio wapya kila siku.
sisisio kia ndege tofauti hushuka kila daily umenipata .
 
ila huyo mwanaume alichokufanyia sio poa
Sio mie kwa maana sinaga marafiki wasiojitambua mtu anasema anasaidika tu.
sio kuact anazo kumbe hana .
angesema angelipiwa kwani wangapi maisha yao wote wanakopwa kupewa ni ndoto.
wengi
 
Mtu kalala kwao umemuita wewe halafu ukaja kumjazia bills hapo kama anauza au hauzi si kesi kesi ni wewe usiyejipanga ungemwacha demu wawatu na siku yake kuliko kumuwekea mtu majukumu na nuksi zisizotarajiwa ai hamkui jitu zima kazi mikopo bora hata hajamla eti kulikoni uliwe na madeni juu aibu zenu popote mlipo wanaume wahivi
Sikia mdogo wangu ..
Ni vyema kutolazimisha mahusiano, ila kama yanakuwepo ustaarabu unapaswa kutangulia. Kuna mdada nilidate naye kwa mtandao, tukawekeana makubaliano kwamba nikisafiri kwenda kwa mji alipo gharama za kuishi ni juu yake .. na iwapo atakuja mjini nilipo gharama za kuishi ni juu yangu.
Muda na wakati ulipofika hakuna alomlaumu mwenzake ,,, tulistarehe kwa siku 7 mfululizo - hakuna wa kumwacha mwingine .. hadi sasa tuna mahusiano mazuri sana.
Angenambia nimlipe wala nisingeendelea kuwa na mahusiano naye lakini kwa kuwa muwazi tunaendelea na tunasaidiana sana tu. Wanawake acheni kujidhalilisha kujifanya bidhaa.
 
Wewe umesema ndio maana kama hauna mtu anakusaidia ila ungenyamaza sio fresh bidhaa siku hizi ni nyie couze mnawategemea wanawake asilimia kubwa sema tu unatunzwa sio mbaya maana ulikuwa muwazi siku ya kwanza kuna matajiri haswa ila akiwa hana wanaongea ila usijidai unajua sana kumbe huna kitu.
 
Sikia mdogo wangu ..
Ni vyema kutolazimisha mahusiano, ila kama yanakuwepo ustaarabu unapaswa kutangulia. Kuna mdada nilidate naye kwa mtandao, tukawekeana makubaliano kwamba nikisafiri kwenda kwa mji alipo gharama za kuishi ni juu yake .. na iwapo atakuja mjini nilipo gharama za kuishi ni juu yangu.
Muda na wakati ulipofika hakuna alomlaumu mwenzake ,,, tulistarehe kwa siku 7 mfululizo - hakuna wa kumwacha mwingine .. hadi sasa tuna mahusiano mazuri sana.
Angenambia nimlipe wala nisingeendelea kuwa na mahusiano naye lakini kwa kuwa muwazi tunaendelea na tunasaidiana sana tu. Wanawake acheni kujidhalilisha kujifanya bidhaa.
Kumbe humu jf ,,ni pears tupu
 
Dah!!naona huyo mwanamke atakuwa mbaya na ni mrahisi sana ,jamaa hakuenjoy, ndio maana akaona bora a share nae bill lakini kama mwanamke ni mzuri na Mwanaume amemuelewa basi mwanaume humpa hata pesa Ya usafiri baada Ya kilakitu.
 
Back
Top Bottom