Acheni kusimulia ya faragha

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
837
Reaction score
972
Habari!

Haifai kusimulia mambo ya faragha (wewe na mpenzi wako) kwa watu wa nje! Athari zake ni nyingi sana. Mfano; unaweza kuharibu uhusiano wako, kimdharaulisha mwenzio kwa watu, kutamanisha wengine kwa mtu wako, kumfanya akose fursa mwenza wako kutokana na mambo uliyo yaongea huko nje.

Kuna colleague hapa ameangukia pabaya baada ya mpenzi wake kuwa anawasimulia mashost/mabest zake mambo ya faragha kila mara. Jamaa amepita na kundi la wanawake 8 kwa nyakati tofauti wawili wakiwa ni ndugu wengine marafiki.

Hiyo ni kuanzia December mpaka wiki mbili zilizopita. Mwanamke wake alikuwa anajiropokea tu "ooh mi nafikishwa mpaka nakataa mwenyewe kuendelea na mchezo". Kumbe hajui wenzake ni wahanga wa hilo jambo...wakamsaka jamaa tena wengine kwa kumvuta na faranga, na kama ujuavyo hakuna mkate mgumu mbele ya chai tena.

Bahati mbaya walikuwa wanamwambia kabisa jamaa, "Rafiki yetu anakufaidi....tufanye kwa siri basi" Hamad bin vuu kati ya wale wanawake watano amewajaza mimba. Jamaa kapagawa maana taarifa za mimba zilikuja mfululizo mwezi april. Kaenda kuwapima kila mmoja kwa wakati wake jamaa anarudi kichwa chini. Hapo malengo yake anaona yashaharibika.

Mwanamke wake amejua juma nne ameanzisha timbwili laana. Anamlaumu jamaa na ameahidi kuchoma nyumba ya jamaa yake.

Mdomo uliponza ninii?

Acheni kusimulia ya faragha jinsia zote!!!
 
Ndugu Zangu Tuchape Kazi
Wewe Kama Unategemea Mnazi Mmoja Ndiyo Ufikirie Kupanga Uzazi, Usiposhiba Hata Uzazi Wenyewe Utagoma

Kipindi Cha Utawala Wangu Watu Wazae, Elimu Bure Kulea Mtoto Sasa Hivi Ni Rahisi
Akija Rais Mwingine Ndiyo Mpange Uzazi


😀😁😂😅😄😃🤣

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Maneno ya kuskia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee!!jamaa kawapa mimba wanawake watano kwa wakati mmoja[emoji1][emoji1]

Vipi wanajijua tayari kuwa wamepewa mimba na mwanaume mmoja mpenzi wa rafiki yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee!!jamaa kawapa mimba wanawake watano kwa wakati mmoja[emoji1][emoji1]

Vipi wanajijua tayari kuwa wamepewa mimba na mwanaume mmoja mpenzi wa rafiki yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshajijua mkuu na main chick kawaka kinoma maana yeye ndio alitoa siri za kambi na sasa hana maana wenzake ndio wamebeba mimba ye yupo bila bila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…