Acheni kumlaum Roma

bestmale

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
3,067
1,801
Acheni kumlaumu Roma jamani Roma kasema eti atasema kila kitu jumatatu nawala hajataja tarehe na mwezi wa jumatatu hiyo yawezekana ikawa juma tatu ya mwaka ujao .
 
Tunamlaumu kwa sababu hatujapata kile tulichofikiri kutoka kwake...

Halafu mbona MONI..BIN LADEN NA YULE HOUSEBOY HAWAITI PRESS CONFERENCE??

ILIKUAJE ROMA AACHE VITUO VYOTE VYA POLISI KUTOKA UNUNIO HADI OYSTERBAY

NA KULE INSTAGRAM KWENYE ACCOUNT ZAO SIJAONA POST YOYOTE SINCE TAREHE 1/4 (MONI) NA 6/4(ROMA)...KUNA NINI KINAENDELEA HAPA..???
 
Roma kajimaliza kisanii sasa hivi hata Fiesta haitwi, ataimba nini watu wamuelewe.
 
Kwanini Hatushukuru amerudi salama,tuombe mwenyezi mungu na sisi yasitufike yalomkuta yeye,kuliko kutaka kujua alifanywa nini? as long as ni mzima hiyo ndio muhimu hamuelewi mtu ameathirika kiyasi kisaikolojia mnataka habari akisha sema alivyofanywa what is next? utamsaidia nini? ebu tijifunze kuheshimu hisia za mtu na kujiweka kwenye nafasi ya mwenzio mwenye matatizo ungekua wewe ungefanyaje...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom