Yaani ni nomaa mpaka nawahurumia,halafu sasa hivi wanasambaza ngoma kwa hasira kila kukicha,yaani wanaume tusipoangalia tutapukutika kama senene,eti ooh condom sitaki inaniwasha kwenye ninihii,na ukikolea unalazimishwa ZE BUNYOZ au kwa jina lingine ZE NYAMBAZ ili uukwae kisawasawa,eti ooh baby na huku inaniwasha kwa ndani kabisa.