Acheni kulialia na mapenzi

Mkuu ulichoandika kineniinua sana.
Ninacho amini sasa ni maskini huwa tunatumia nguvu sana kutaka tuheshimiwe na wapenzi wetu na bado hatuheshimiwi,tajiri hatumii nguvu kabisa pesa zake ndo nguvu yake na pesa kwa wanawake WENGI ndo kitu wanapenda na kuheshimu,tafuta hela usitafute mapenzi,hela ikiwepo mapenzi hujilengesha,
 
Ukiyarahisisha yatarahisika,ukiyatatanisha yatakuwa magumu,tujizoeze kukubali na kuanza upya,tuombe MUNGU atupe moyo wa kukubali yasiyoweza badirika
 
Wanaume atulii bwana... Labda wavulana...
Kuna kulilia mapenzi na kulilia ndoa,mwanaume wa ndoa akilia halii sababu ya mwanamke,analia sababu ya watoto na maisha aloyaseti yanavovurugika,na analia kwa vision maana hatma ya watoto inaingia ktk hati hati ya kuteseka,wanawake wa sasa hawalii maana huwa hawajali hatima ya maisha ya watoto,wao hujali hatma ya mawigi na vipedo na lip stick,hawajali kabisa masha ya watoto na hatma yao, wao hujijali wao,hivo wanawake wa sasa hawalii na vurugu za ndoa si sababu ni majasiri la hasha,ni sababu hawaoni chochote mbele
 
yap...sasa huo ni mtihani then msichana anakuacha lijana ume lina lia mwenzake anaenda kuolewa asa sijui mwanaume atafanywaje na huku kakazana kujililia
Ukitaka kuona machozi ya mwanamke ktk mapenzi na ndoa uhakika wa simu Kali,lip stich na vivazi ukatike hapo atalia,lkn ndoa ama mapenzi yafe wakati uhakika wa lipstick upo hali ng'oo,
Wanaume tubadirike hawa wadudu hawapendi mtu wanapenda kitu,
Ni wachache sana wanaopenda mtu tena ni wale wenye kujitosheleza wenyewe
 
asante kwa kunielewa tukijikita kwenye utafutaji mapenzi hujileta...wewe ebu fikilia linapotokea tatizo la kifamilia watu watamsubiri bwana mdogo ata kama yupo nchi za nje yeye ndo aje amalize kwa kuwa tuu anauwe kifedha...fedha ndo kila kitu
 
umeona mzee mwenzangu...kuna mzee mmoja aliwahi kunihadithia kua enzi za ujana kipindi yupo chuo kuna msichana alikuwa classmate mwenzake huyo msichana alisaidiwa kila kitu na huyo mzee siku anataka kuolewa huyo msichana alijipeleka yeye mwenye akagegedwe na huyo mzee...ebu image kama huyo mzee asinge msaidia angemgegeda huyo demu...kwahiyo pesa ndo kila kitu emage mond kawagegeda mademu wengi {vijei pen, wema, kidoti, jackline, irene nk} lakini hiyo ilitokea baada ya kupata pesa mbona hakufanya hayo yote kipindi yupo tandare?????
 
kumbe
 
Hapo kwenye kolewa/kuoa kwa sababu unapesa,bado si kitu kama utamkosa umpendae.
Utakua unatimiza majukumu tu,kwamba sina namna,inabidi nioe.

Bado moyo kuna kitu utakosa.. Watu wanaishi kwenye ndoa miaka,wana Mali,watoto lakini bado hawazoeani.

Bado moyo kuna kitu cha muhimu utakosa.

Nimejifunza kuwa mapenzi sio pesa,mtu anaweza achana na mke/mume na kila kitu anapata kwenye ndoa,wala hanyanyaswi!

Akaenda kwa mtu dhalili na akaishi kwa furaha ijazayo moyo na kuleta amani.

UPENDO HAUNA RANGI
Ndio maana unakuta mtu ana mme/mke mzuri ana kila sifa,watu wapembeni hawaishi kumsifia lakini unakuta anachepuka anakuja zaa na mwanamke/Mme ambae machoni watu wanaona sio saizi yake.
Ila wao mioyoni wameshibana!
Wachache wanaobahatika kuishi na wawapendao kweli.
Wengi wanaishi kitumwa kwenye ndoa!

NA UTAACHAJE KULIA WAKATI ANAYEKULIZA NDIO WAKUKUNYAMAZISHA!

Watu tunaishi tunalia.Dunia ni mbaya totally,haisapoti happiness! Kwa waliowengi.


Labda kumuachiana kumtegemea Mungu tu.ila pesa,elimu!??
Mmmgh sitaki!
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…