Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu, wewe sio wa umuhimu ila watu wanakusanifu

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Ushawahi kujiuliza kwanini kuna watu miaka nenda rudi wako vile vile hawabadiliki na hata ufanyeje wako unajua tatizo ni nini?

Jibu ni moja ni kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu yaani kupenda kuonekana wewe ni wa umuhimu?

Sasa basi ukweli ni kwamba umuhimu wa wako huonekana pale mtu anapokuwa na shida ila ikiisha wewe sio wa umuhimu hivyo basi fanya maisha yako wewe sio wa umuhimu na acha kusaidia saidia watu uonekane wewe ni wa umuhimu.
 
inauma japo ndio ukweli!
tumepoteza raslimali nyingi kwa kuwasaidia watu na tumeshindwa kutoka hapo.
Shida inakuja jinsi gani tunaweza kubadilisha mtazamo wetu na kufanya vinginevyo hapa ndipo inapokuwa shida. wengi wetu tunamikopo isiyo ya pesa moja kwa moja yaani mjini tulibebwa na ndugu zetu hivyo tunahitaji kulipa fadhira hivyo si rahisi sana kuacha hii kitu ghafla.
 
Back
Top Bottom