wisco maduhu
Member
- Oct 6, 2016
- 33
- 16
Wanafunzi wote mnaotaka kuhama vyuo muwe makini hakuna chuo kitakachokupokea wakati bado vinahitaji kudahili wanafunzi 4500 kwa awamu ya nne,kuweni wapole na msome pale mlopochaguliwa huu mwaka una misukosuko mingi haswaaa zaidi fedha za mikopo zishaanza kutolewa,someni pale mlipochaguliwa ujuaji haufai mtazigharimu familia zenu kwa ujuaji