Acheni Kujidanganya wanaume

Ndugu yangu, usiruhusu maumivu, hasira au uzoefu wa mtu mmoja vikakufanya uwahukumu watu wote. Hekima ni kuhukumu tabia ya mtu binafsi, si historia unayoihisi bila ushahidi.
Aaah au sio
 
Bloo,sisi kijijini kwetu mwanamke akishaitwa hivyo tu ina maana ataolewa tu.Kumbe kijijini kwenu mna uchaguzi mkali hivyo bloo!?
 
Inasikitisha sana.
 
Kakudanganya nani kuwa single maza hawatumii uzazi wa mpango?
Kwa taarifa yako 98% wanawake wote wanatumia uzazi wa mpango
 
Ukumbuke kuwa miongoni mwa hao wanawake unaowasema hapa ni mama yako
 
Wa kwangu alitoa 6 kwa hiyo unatakaje?
 
Yaani Jehova Au Allah akupe mwanamke asiye na bikira sasa Kuna haja Gani ya kumuomba akupe mke mwema?

Mke mwema anatoka Kwa Bwana NDIO lakini ndo asiwe na bikira? Bwana Gani huyo wa kukupa marudio ya wanaume wenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…